USA kuongeza Vikosi 200 Iraq
Rais Barak Obama ametangaza kuwa anatuma vikosi 200 zaidi , na pia helikopta zisizoKuwa na ruban nchini Iraq.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Sep
Obama kuongeza vikosi Iraq
Rais Barack Obama wa Marekani ameidhinisha kupelekwa vikosi vya wanajeshi wapatao 350 Iraq.
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Vikosi vya Iraq vyawakabili wapiganaji
Wanajeshi wa serikali ya Iraq wanasema kuwa wamelikabili shambulizi moja la wanamgambo katika kiwanda kikuu cha mafuta.
11 years ago
BBCSwahili29 Jun
Vikosi vya Iraq vyashindwa kuteka Tiqrit
Ripoti kutoka Iraq zinaarifu kuwa vikosi vya serikali vimeshindwa kuuteka mji wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa kisunni
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Vikosi vya Chad vyawaua wapiganaji 200
Jeshi la Chad linasema kuwa limewaua wapiganaji 200 wa kundi la boko Haram huku nao wakipoteza wanajeshi 9 katika vita vikali
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
USA:Hatutakubali uongozi wa Khalifa Iraq
Rais Obama amesema kuwa hatakubali wapiganaji wa Kisunni kubuni taifa la kiislamu ndani ya mataifa ya Syria na Iraq.
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
USA:hatutashirikiana na Iran nchini Iraq
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kushirikiana na Iran kukabiliana na wapiganaji wa Islamic State.
5 years ago
New Day Live24 Feb
Credit Settlement Market with Eminent Key Players and Future Outlook to 2026 | Guardian Debt Relief (USA), Freedom Debt Relief (USA), Debt Negotiation Services (USA)
Credit Settlement Market with Eminent Key Players and Future Outlook to 2026 | Guardian Debt Relief (USA), Freedom Debt Relief (USA), Debt Negotiation Services (USA) New Day Live
9 years ago
MichuziJAPAN INTERNATIONAL COOPERATION AGENCY DELEGATION VISIT EAC HEADQUARTERS: Discuss dualling of Tengeru-Usa Road, Rehabilitation of Usa - Holili section, and Re-location of Kikafu Bridge
Dr. Enos Bukuku; Deputy Secretary General in charge of Planning and Infrastructure shares a handshake with Eng. Masataka Fujikuma; the JICA Technical Expert.A group photo of Dr. Enos Bukuku; EAC Deputy Secretary General (DSG) in charge of Planning and Infrastructure with Mr. Hajime Iwama; JICA Tanzania Director (DSG's immediate right) and Eng. Hosea Nyangweso; Prinicpal Civil Engineer (DSG's second right) among other members of the Japan delegation and EAC Staff.East African CommunityEast...
9 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA 2015-2016 AEESHA KAMARA ASHINDA KUWA COVER GIRL KWENYE CALENDA YA MISS AFRICA USA
Miss Tanzania USA 2015-2016 Aeesha Kamara (kushoto) aibuka mshindi na kuwa Cover Girl kwenye Kalenda ya Miss Africa USA 2015-2016 shindano lililofanyika New York siku ya Jumamosi Novemba 28, 2015. Mamiss wengine walioshiriki shindano hilo wakipita mbele ya majaji. Wadau wakipata picha na mamiss wakati mratibu wa mashindano ya miss Africa Lady Kate alipokua akitangaza shindi.Ma Winny Casey (gauni jeusi) pamoja na Lady Kate (mwenye miwani) wakiwa na mamiss.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania