Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi Rukwa waendelea kuhamasisha matumizi ya Nyungu

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa wito kwa wananchi na wadau wote mkoani humo kuhakikisha wanachukua hatua za tahadhari ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya pamoja na kushauri matumizi ya Nyungu kwaajili ya kujifukiza.
Amehamasisha hayo ikiwa ni katika kuunga mkono kauli ya Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na viongozi wengine wa juu nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

VIONGOZI MKOA WA RUKWA WAENDELEA KUHAMASISHA MATUMIZI YA NYUNGU (KUJIFUKIZA)

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa wito kwa wananchi na wadau wote mkoani humo kuhakikisha wananchukua hatua za tahadhari ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19) kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa Afya pamoja na kushauri matumizi ya Nyungu kwaajili ya kujifukiza.
Amehamasisha hayo ikiwa ni katika kuunga mkono kauli ya Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na viongozi wengine wa juu nchini...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo matumizi ya EFD waendelea

Sakata la wafanyabishara kuendelea kugomea mashine za elektroniki, limechukua sura mpya baada ya maeneo mbalimbali kutangaza kuzikataa.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yazindua kampeni maalumu kuhamasisha matumizi ya kadi zake mpya za ‘Faida’.

BENKI ya EximTanzania imezindua kampeni inayolenga kuwahamasisha wateja wake juu ya matumizi ya kadi zake mpya za  ‘Faida Chip and PIN Debit card’ ambazo zimeundwa  kwa kuzingatia vigezo vya kiusalama zaidi.
Kwa mujibu wa Meneja Bidhaa wa benki hiyo Bw. Aloyce Maro hatua hiyo ni sehemu ya jitiahada za benki hiyo kuhakikisha kwamba huduma zake zinatolewa kwa uhakika na usalama zaidi kwa faida ya wateja wake.
“Lengo kubwa la kampeni hii ni kuwahamasisha wateja wetu juu ya matumizi ya kadi zetu...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AFANYA ZIARA YA KUHAMASISHA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) KATIKA SEKTA YA ELIMU MKOANI HUMO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza kwa hisia kubwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Itwelele iliyopo Manispaa ya Sumbawanga leo tarehe 15/07/2014 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya kuhamasisha mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa shule za Msingi na Sekondari Mkoani Rukwa. Katika ziara yake hii amepata fursa ya kuonana na wanafunzi na wadau wa elimu zikiwemo kamati za shule mbalimbali katika kata za Manispaa ya Sumbawanga na viongozi katika kujadili na kuweka...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AITAKA TARI KUFANYA TAFITI ZINAZOLENGA KUONGEZA TIJA NA UZALISHAJI NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua mashamba ya maonesho wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Bishara mwaka 2020 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI-Ilonga) kwa kushirikiana na makampuni ya mbegu tarehe 17 Juni 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akikagua mashamba ya maonesho wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Bishara mwaka 2020 yaliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania...

 

9 years ago

Michuzi

ACACIA YADHAMINI PAMBANO LA SOKA LA VIONGOZI WA DINI NA MABALOZI KUHAMASISHA AMANI

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye ni nahodha wa timu ya viongozi wa dini, Alhadi Mussa Salum, akinyanyua juu kikombe cha ushindi wa pili baada ya kumalizika kwa pambano la soka kati ya viongozi hao na mabalozi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 17, 2015. Mabalozi walishinda kwa mikwaju ya penati 3-2 na kutwaa kombe. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, na wakwanza ushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Acacia, anayeshughulikia ustawi wa...

 

10 years ago

GPL

FID -Q AZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA VIJANA KUCHAGUA VIONGOZI WA NCHI 2015

Msanii wa Hip hop, Farid Kubanda 'Fid Q' akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari juu ya kampeni yake aliyozindua maalumu kwa kuwahamasisha vijana wa Tanzania kushiriki kikamilifu kwenye mchakato wa kuchagua viongozi wa nchi mwaka 2015, huku akiwataka kuachana na kulalamikia viongozi wanaokuwepo madarakani wakati muda wa kupiga kula ukifika wao hawashiriki kikamilifu. Fid -Q (katikati) akiwa na… ...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF Yawapongeza Viongozi wa Dini kwa kuhamasisha kaya kujiunga na CHF

Meneja Mwandamizi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Magharibi – Tabora Bw. Emmanuel Adina (kushoto) akifafanua jambo kwa Afisa Habari wa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki alipofanya mahojiahano naye kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii unavyo nufaisha Vijana wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana inayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.Afisa Masoko na Elimu kwa Umma wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bibi Catherine Kameka akielezea jambo kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani