Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi Tanzania safi ICC — Membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeUMOJA wa Afrika (AU) unatarajia kukutana hivi karibuni kujadili hatua za kuchukua kutokana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kupandishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) hivi karibuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MEMBE APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (kushoto) ni Sheikh wa Mkoa wa Mtwara, Dk. Nurdin Abdallah Mangochi. Picha zote na John Badi Waziri wa...

 

9 years ago

StarTV

Viongozi watakaobainika kuchochea vurugu kuchunguzwa ICC

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa tahadhari kwa viongozi wa ndani na nje ya Serikali watakaodhihirika kuchochea vurugu za kisiasa na kusababisha uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi, watalazimika kuchunguzwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC na kufikishwa mahakamani.

Hatua hiyo inatokana na Tanzania kuwa miongoni mwa nchi wanachama wa Mkataba wa Roma unaoiunda ICC ambapo makosa yanayolengwa na mkataba huo yakitokea nchini, wahusika wa uchochezi au kupanga njama hizo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASIHI WATANZANIA KUTOCHAGUA VIONGOZI WANAOSAKA UONGOZI KWA KUTOA RUSHWA

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa, Bernard Membe akimkabidhi Bi. Shamim Khan tuzo ya heshima ya kujishughulisha na kazi za kijamii hapa Tanzania,katika tamasha la kwanza la Qaswida
lililofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa na kudhaminiwa na Kampuni ya Dira ya Mtanzania. PICHA NA MICHUZI JR.PICHA ZAIDI BOFYA HAPAWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Sheikh Ismail Mohamed wakati wa tamasha...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA KUWAIT FUND, KUWAIT CITY

Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhe. Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait mara baada kuwasili ofisini kwake kwa mkutano siku ya Jumatano  tarehe 15 Aprili 2015.  Mhe. Bernard Membe akiwa kwenye picha ya pamojan na Abdulwahab A. Al-Bader, Mkurugenzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (kati) pamoja na Balozi Yahya Simba, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje. : Waziri Membe...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA MADHEHEBU KUOMBEA UADILIFU KWA VIONGOZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (wa pili  kulia), akiongozana na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani,  Askofu Ted Wilson (wapili  kushoto),  Waziri wa Kilimo, Mhe. Stephen  Wassira (kushoto), pamoja  na  Mchungaji Blasius Luguri, Mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Utume  kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Mhe. Membe alikuwa mgeni rasmi katika Sherehe za ufungaji Kongamano la Kimataifa la Utume kwa Kanisa la...

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA WAJIFUA GYM KUIWEKA MIILI YAO SAFI

 Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalum cha mazoezi 'Gym', ungana na mpigapicha wa Father Kidevu Blog katika picha mbalimbali za warembo hao katika kambi yao. PICHA ZAIDI INGIA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC:''Yebei aliwahonga mashahidi ICC''

Mahakama ya ICC inadai kuwa shahidi aliyeuawa aliwahonga mashahidi wengine. Na Emmanul Igunza

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaipongeza ICC kesi ya Kenyatta

SERIKALI ya Tanzania imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) wa kufuta kesi iliyokuwa ikiwakabili Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto. Akizungumza jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yaishauri ICC kuboresha uhusiano na Afrika

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn, alisema kesi za Rais Kenyatta na Omar al-Bashir wa Sudan zinazuia juhudi za kuleta amani na mapatano katika nchi zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani