Viongozi watakaobainika kuchochea vurugu kuchunguzwa ICC
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imetoa tahadhari kwa viongozi wa ndani na nje ya Serikali watakaodhihirika kuchochea vurugu za kisiasa na kusababisha uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi, watalazimika kuchunguzwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC na kufikishwa mahakamani.
Hatua hiyo inatokana na Tanzania kuwa miongoni mwa nchi wanachama wa Mkataba wa Roma unaoiunda ICC ambapo makosa yanayolengwa na mkataba huo yakitokea nchini, wahusika wa uchochezi au kupanga njama hizo...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Jan
Viongozi wa dini wakemea vurugu
10 years ago
Habarileo06 Nov
Viongozi Tanzania safi ICC — Membe
UMOJA wa Afrika (AU) unatarajia kukutana hivi karibuni kujadili hatua za kuchukua kutokana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kupandishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) hivi karibuni.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Wassira aomba viongozi wa dini kutochochea vurugu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amewataka viongozi wa dini nchini kuwa mfano na kuepuka kuwa chanzo cha migogoro na kuhamasisha uvunjifu wa amani kupitia mahubiri yao, kwa kuwa wao ndio msingi mzima wa amani katika nchi yoyote ile.
10 years ago
Mwananchi09 Jan
CCM yalaani vurugu kuapishwa kwa viongozi Serikali za mitaa
10 years ago
Vijimambo09 Jan
10 years ago
MichuziCCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
11 years ago
MichuziCUF kutowavumilia watendaji watakaobainika kuendeleza fitna na majungu
5 years ago
MichuziCHONGOLO AAGIZA POLISI KUWA CHUKULIA HATUA WATAKAOBAINIKA KUCHIMBA MCHANGA KWENYE MITO.
Meneja wa TARURA wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Leopold Runji akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilaya hiyo ,Mhe. Daniel Chongolo kuhusu miundombinu ya barabara katika makazi ya TBA muda mfupi baada ya kutoka kukagua mito inayochimbwa mchanga
Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo wakiwa wameshuka kwenye gari na kuelekea kwenye mto salasala kuangalia namna ya kuwadhibiti wananchi wanaochimba mchanga katika mto huo.
5 years ago
MichuziCORONA YADAIWA KUWAINGIZA WANAFUNZI KATIKA MAPENZI,UONGOZI WA KATA WAJIPANGA KUCHUKUA HATUA KALI WATAKAOBAINIKA
Na Shukrani Kawogo, Njombe
Imeelezwa kuwa kutokana na wanafunzi kuwepo katika kipindi hiki cha likizo kutokana na ugonjwa wa Corona imepelekea wanafunzi hao kuzagaa vichakani na kujihusisha na masuala ya kimapenzi kitu ambacho kinarudisha nyuma maendeleo ya wanafunzi hao.
Hayo yameelezwa na wananchi wa Kata ya Ibumi wilayani Ludewa Mkoani Njombe katika mkutano wa kujadili maenendeleo ya kata hiyo ulioongozwa na diwani wao Edward Haule ambaye pia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10