Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yalaani vurugu kuapishwa kwa viongozi Serikali za mitaa

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya Mwanza, Dar es Salaam na Mbeya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

10 years ago

StarTV

Vurugu kuapishwa Serikali za Mitaa, UKAWA na CCM zalaumiana.

Na Josephine Shem,

Dar Es Salaam.

 

Siku chache baada ya kuibuka kwa Vurugu kwenye sherehe za kuapishwa Viongozi waliochaguliwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwaka jana Nchini kote, Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Vyama vinavyounda Umoja wa Wananchi UKAWA vimetupiana lawama kuhusiana na Vurugu hizo.

 

Kwa upande wake CCM ilivilaumu vyama vya Upinzani kuwa ndiyo chanzo cha matatizo hayo kwa kuwa na mazoea ya kuanzisha Vurugu pindi wanaposhindwa katika chaguzi mbalimbali,...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...

 

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA POLISI KUHUSU ZOEZI LA KUAPISHWA KWA WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA

Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na hivi sasa kuendelea kwa zoezi la kuapishwa kwa viongozi hao katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza tabia ya baadhi ya wananchi kufanya vurugu na fujo katika zoezi hilo.
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya kihalifu kwa kufanya fujo na vitendo vya vurugu ikiwemo kuwapiga baadhi ya watendaji wanaosimamia zoezi la kuapisha na kuwapiga viongozi wateule...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA‏

Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.  Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa… ...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA CCM CHATO KWA USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwasalimia baadhi ya Wajumbe waa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akihutubia mamia wa wanachama wa CCM wilaya ya Chato waliojitokeza katika mkutano huo wa kupongezana.Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA DAR

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty, akiongea na wanahabari katika hotel ya Landmark Ubungo jijini Dar leo.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUFANYA VYEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

 Wananchi wa Tanga mjini wakimpa mkono wa kumuga Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kumaliza mkutano wake wa kuwashukuru Watanzania kwa kuichagua CCM na kuwashukuru kwa imani yao kwa kutambua chama kinaweza kuongoza.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM wakati wa kuwashukuru wananchi hao kwa kuichagua CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika mwezi Desemba 2014.  Wananchi wakiwa wamefurika uwanjani Tangamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani