Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA SPLM KUTOKA SUDANI KUSINI WAMFUATA KINANA MASASI


 Jenerali James Kok ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu, SPLM, Mbunge , amewahi kuwa Waziri wa masuala ya kijamiii na bisahara katika serikali ya umoja wa kitaifa  Sudan,SPLM - IG akiwasalimu wananchi wa Masasi. Msafara wa viongozi hao kutoka Sudani kusini ulifika wilayani Masasi kwa lengo la kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (mwenye shati la kijani) pamoja na viongozi wa chama cha SPLM kutoka Sudani Kusini wakiwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA SUDANI KUSINI WAMFUATA KOMREDI KINANA MASASI KUPATANISHWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akinyanyua mikono juu kuashiria mshikamano na baadhi ya viongozi wa makundi ya Chama cha SPLM cha Sudan Kusini ambao wako kwenye mgogoro wa kugombea madaraka kwa takribani mwaka sasa. Kinana amekutana na viongozi hao wakati wa mkutano wa hadhara mjini Masasi, Mtwara baada ya kumfuata kutaka ushauri wa upatanishi kutoka kwao Sudani Kuzini. Baada ya ya viongozi hao kupata wasaa wa kusalimia wananchi katika mkutano huo alifanya nao mazungumzo Ikulu Ndogo...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA KAMATI KUU YA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI YA KUSINI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumzana na Kamati Kuu ya Chama Cha SPLM ambapo alipeleka ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,kikao hicho kilikuwa chini ya Mwenyekiti wa chama cha SPLM ambaye pia ni Rais wa Sudan ya Kusini Rais Salva Kiir, Ikulu mjini Juba. Mwenyekiti wa chama cha SPLM ambaye pia ni Rais wa Sudan ya Kusini Rais Salva...

 

10 years ago

Michuzi

FURAHA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KUUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI KUSINI,JIJINI ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Naibu Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Bw. Deng Alor Kuol wakifurahia wakati Rais Salva Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (wa pili kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Dkt. Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jumatano Januari 21, 2015 usiku.PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AENDELEA NA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SPLM




Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo aliwasili Arusha kwa lengo la kufanya mazungumzo na makundi matatu ya chama cha SPLM ya Sudani ya Kusini, mashauriano hayo yalilenga kukamilisha makubaliano baina ya makundi hasimu. 

Baada ya Mazungumzo Ndugu Kinana alisema ana matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kukiunganisha chama cha SPLM katika siku chache zijazo 
Kutoka kushoto ni Balozi David Kapya,Abdulrahman Kinana,Mwenyekiti wa Mazungumzo Dk.John Samuel Malecela na Makamu Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akifafanua jambo wakati kamati yake ilipokutana na Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini katika Ofisi Ndogo za Bunge leo. Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani lipo nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu na wenyeji wao. Kushoto kwa Mhe. Zitto ni Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ya Bunge la Sudani Kusini Bi. Mary Bicensio Wani. Wajumbe wa Kamati ya PAC kutoka Bunge la Sudani wakishiriki kikao hicho na...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

AOMBWA AENDELEE KUSIMAMIA MAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA VIKUNDI VINAVYOSIGANA VYA NCHI HIYO

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana : Viongozi wana mengi ya kujifunza kutoka Kwa Wananchi

6

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Igunga kwenye viwanja vya Sokoine na kutaka Viongozi wajifunze kutoka kwa wananchi ili waendane na kasi ya mabadiliko.

5

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Igunga waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya mikutano vya Sokoine na kuwaambia wanasiasa waache kuwababaisha watu na suala la muundo wa serikali badala yake waje na hoja zinazogusa maisha ya kila siku mfano changamoto la mbegu za Pamba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Redio yafungiwa Sudani kusini

Vikosi vya Usalama nchini Sudani Kusini vimefunga kituo cha redio ambacho kilikuwa kikiunga mkono mpango wa kumaliza mapigano

 

9 years ago

BBCSwahili

Hali ya Sudani kusini yadorora

Huku serikali ya Uingereza ikitangaza kuwa itawatuma wanajeshi zaidi ya mia tatu kudumisha amani nchni Sudani ya kusini na Somalia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani