Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA STAAFU WAJADILIANA KUHUSU AMANI HAPA NCHINI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza katika Mkutano wakujadili Amani hapa nchini ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es Salaam.Waziri Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim akizungumza katika Mkutano wa Amani ulioandaliwa na Tasisi ya Mwalimu Nyerere leo jijjini Dar es Salaam.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Taricisius...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI NA WASISA WAUNGANA NA JESHI LA POLISI HAPA NCHINI KUJADILI AMANI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza katika mkutano wa kujadili Amani  baina ya viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na jeshi la Polisi mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.  Mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa na UNDP, Alvaro Rodriguez akichangia maada katika mkutano wa kujadili amani uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada  ya kumaliza kipindi cha kwanza katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini nchini wahubiri amani

>Viongozi wa dini katika makanisa mbalimbali nchini, wametumia Sikukuu ya Krismasi kuhubiri amani, kulaani ubinafsi huku wakiitaka Serikali kuhakikisha inawang’oa viongozi mizigo ambao ndio chanzo cha umaskini nchini.

 

9 years ago

Michuzi

MSANII WA KENYA SARA K KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBE AMANI HAPA NCHINI

 Mwenyekiti wa kamati  Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama amesema  washiriki wa tamasha hilo ni waimbaji mbalimbali wa injili kama Solomon Mkubwa, Rose Mhando, Upendo Nkone, Boniface Mwaitege, kwaya ya  KKT ya  Dar es Salaam pamoja na kwaya mojawapo kutoka Iringa, amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.Kulia niKatibu mkuu wa makanisa ya Kipendekote Askofu, David Mwasota akizungumza kuhusiana na tamasha hilo kuwa wananchi wakitokeze kwa wingi...

 

9 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOSHENI KUANDAA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Muandaaji wa matamasha ya injili hapa nchini, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na tamasha la kuombea Amani ya nchi juu ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchiini na kushoto ni Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya tamasha la kuombea amani ya nchi yetu kuelekea uchaguzi, Hamis Pembe. Msama pia aliipongeza serikali kwa kukataza uwanja wa taifa kutumika kufanyia matukio ya kisiasa. Pia amesema kuwa katika tamasha...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015

SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UJERUMANI HAPA NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

                                                  

Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

                  20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM,  

                                    Tanzania.


 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais...

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani