Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi, wanasiasa wamlilia Filikunjombe

IMG_9980Na Agatha Charles

VIONGOZI, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali wameeleza kushtushwa na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia  Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe.

Mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alisema pamoja na taarifa hizo kumshtua sana, lakini Taifa limepata pigo kubwa ndani ya kipindi kifupi baada ya kuondokewa na wanasiasa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Filikunjombe ataka wanasiasa wajipime

Deo-FilikunjombeNa Mwandishi Wetu, Ludewa

MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka viongozi wa siasa kujitafakari kuhusu nafasi wanazoziongoza kuona kama wapo kwa ajili yao binafsi ama kwa ajili ya jamii iliyowachagua.

Filikunjombe alitoa kauli hiyo juzi wakati akitoa salamu zake za pole kwa wakazi wa Ludewa katika mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wilayani hapo, Elizabeth Haule yaliyofanyika kijijini kwake Luana.

Alisema lazima viongozi kujenga utamaduni wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza waombolezaji kuuaga mwili wa mgombea ubunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe ambaye wanasiasa wametakiwa kuvaa ‘viatu vyake’ kuiga mema aliyokuwa anayatenda.

 

9 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa

VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’

Viongozi wa dini wametakiwa kuepuka kutumiwa kama wafanyabiashara wa kuwauza wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, hasa urais.

 

11 years ago

Mwananchi

Nchi hii si ya viongozi au wanasiasa pekee

Ninapofuatilia kadhia wanazokumbana nazo Watanzania karibu kila kona ya nchi hii, nabaki nikijiuliza hivi nchi hii ni kwa ajili ya nani hasa?

 

9 years ago

StarTV

Viongozi wa dini Kilimanjaro wawaonya wanasiasa

 

Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kilimanjaro wamewaonya wanasiasa kuacha lugha potofu na zenye uchochezi ambazo zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao watanzania wako katika harakati za kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo.

Kauli za viongozi hao zinakuja kutokana na baadhi ya wanasiasa kutumia mikutano na majukwaa ya kampeni kutamka maneno ambayo yanahatarisha amani nchini.

Hayo yamejiri katika mkutano ulioandaliwa na viongozi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Deo Filikunjombe andaa semina kwa viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa

1a

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa inayohusu masuala ya kuimarisha Chama na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Ludewa ambalo linaongozwa na Mbunge wake Machachali na makini Mh. Deo Filikumbjombe, Semina hiyo imeandaliwa na Mbunge wa jimbo hilo ambayo ilianza na ziara ya kimafunzo ya viongozi hao wa CCM wilaya ya Ludewa ambapo walianzia mjini Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO

Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza  jambo  wakati  akitoa  salamu  zake kwenye  mazishi ya SR. Instrude mariaKatibu mwenezi wa CCM mkoa  wa  Njombe Bw Honolatus Mgaya kushoto  na  mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  wakishirikiana na wananchi  wa  Njombe  kubeba jeneza na SR. Maria.  Mbunge  Filikunjombe katika usikivu mkubwa
 Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wakumbuka mashujaa ‘walia’ na wanasiasa

Viongozi wa dini nchini wameendelea kuwataka wanasiasa kuweka kando maslahi binafsi ya vyama vyao katika mchakato wa Mabadiliko ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani