Filikunjombe ataka wanasiasa wajipime
Na Mwandishi Wetu, Ludewa
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka viongozi wa siasa kujitafakari kuhusu nafasi wanazoziongoza kuona kama wapo kwa ajili yao binafsi ama kwa ajili ya jamii iliyowachagua.
Filikunjombe alitoa kauli hiyo juzi wakati akitoa salamu zake za pole kwa wakazi wa Ludewa katika mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wilayani hapo, Elizabeth Haule yaliyofanyika kijijini kwake Luana.
Alisema lazima viongozi kujenga utamaduni wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Viongozi, wanasiasa wamlilia Filikunjombe
Na Agatha Charles
VIONGOZI, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali wameeleza kushtushwa na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe.
Mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alisema pamoja na taarifa hizo kumshtua sana, lakini Taifa limepata pigo kubwa ndani ya kipindi kifupi baada ya kuondokewa na wanasiasa...
9 years ago
Mwananchi18 Oct
Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Filikunjombe ataka Waziri achapwe viboko bungeni
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), ameliomba Bunge kubadilisha kanuni ili Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Christopher Chiza, achapwe viboko bungeni akamuonyeshe mkewe. Filikunjombe, alisema kanuni hiyo iruhusu mawaziri...
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...
10 years ago
Habarileo05 Dec
CAG ataka wanasiasa waheshimu ofisi yake
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad (pichani) aliyeapishwa juzi na Rais Jakaya Kikwete amekemea tabia ya wanasiasa na wafanyabiashara kuingilia kazi za kitaaluma, akisema kwa upande wake hatapenda kuona watu wa makundi hayo wakifanya hivyo na kusisitiza kuwa, kufanya hivyo ni kosa.
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
9 years ago
Habarileo29 Nov
Serikali yataka vigogo wajipime
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi mpya kuhusu maagizo ya Rais John Magufuli, kwa watendaji wakuu na maofisa masuhuli wote wa wizara, idara na taasisi za Serikali, katika suala zima la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Katika ufafanuzi huo uliotumwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue ametaka kila mtendaji wa Serikali kujihoji mwenyewe, kwamba endapo Rais Magufuli ataamua kufika katika eneo lake la kazi, ni kwa kiasi gani atakuta...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Mzee Moyo awataka CCM wajipime