Mzee Moyo awataka CCM wajipime
Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Mzee Hassan Nassor Moyo amesema wajumbe wa CCM ndani ya Bunge la Katiba wanatakiwa kujiuliza sababu zilizolifanya kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoka nje ya Bunge na ndipo watafute suluhu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Mzee Moyo afukuzwa CCM
NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho Visiwani, Mzee Hassan Nassor Moyo.
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja, Aziza Iddi Mapuri katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini hapa.
Mapuri alisema Mzee Moyo anadaiwa kukisaliti chama hicho kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubaliana na sera za chama chao.
Alisema Mzee Moyo alitumia majukwaa ya siasa katika mikutano...
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Mzee Moyo: Sijutii kufukuzwa CCM
Na Is-haka Omar, Zanzibar
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani mstaafu, Mzee Nassor Moyo, amesema hajutii kufukuzwa uanachama ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hatarajii kukata rufaa.
Akizungumza na MTANZANIA mjini hapa jana, Moyo alisema ataendelea kuwa muumini wa Serikali tatu na kudai mamlaka kamili ya Zanzibar hadi mwisho wa maisha yake.
Alisema anaamini kile anachosimamia ndani ya moyo wake, hivyo hakuna chama wala taasisi yoyote yenye uwezo wa kubadilisha kile anachokiamini kusimamia...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Kinana aunguruma Mkuranga awataka viongozi waliojilimbikizia vyeo wajipime
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutumia katika mkutano wa hadhara mjini Kimanzichana, wilayani Mkuranga, Pwani , alipoanza zira ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.Kinana aliwataka viongozi wa chama na serikali waliojilimbikizia vyeo na kushindwa kutekeleza wajibu wao, waanze kujiuzulu baadhi ya vyeo ili wapatiwe wengine wasio na vyeo kwa lengo la...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Oct
Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge
Jabir Idrissa NANI katika CCM waliopo sasa, akiwemo Mwenyekiti wao Jakaya Mrisho Kikwete, makamu Philip Mangula na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana, anayekijua kwa ufasaha chama hiki – asili yake, itikadi yake, sera yake, malengo yake – […]
The post Kama mzee Moyo, ameyaona Kingunge appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Mzee Moyo: Walionifukuza ni watoto wasiojua kitu
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/goTXSRxDNEI/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Mzee Moyo: Sina mpango kujiunga chama chochote
Na Elizabeth Hombo, aliyekuwa Tanga
MWASISI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mapinduzi ya Zanzibar, Nassor Hassan Moyo amesema hafikirii kujiunga na chama chochote cha siasa, baada ya kuvuliwa uanachama wa CCM.
Wiki iliyopita, Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja, Aziza Iddi Mapuri alitangaza kumfukuza mwanasiasa huyo mkongwe kwa madai ya kukisaliti kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubaliana na sera za chama chake.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA nyumbani kwake...
11 years ago
Michuzi09 Feb
Maalim Seif awataka WanaCUF kutovunjika moyo na matokeo ya uchaguzi mdogo jimbo la Kiembesamak
![](https://3.bp.blogspot.com/-zzd17MjdJwY/UvZAjFNPhAI/AAAAAAABAcY/eLjVapr8ng4/s1600/blw+1.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-N4u4juygyEs/UvZAjOwz_QI/AAAAAAABAcc/Ykmlgw8SUac/s1600/blw+3.jpg)
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Ya Dodoma yasikuvunje moyo — Mzee Msuya amwambia Rais Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri mkuu Mstaafu mzee Cleopa David Msuya. (Picha na Maktaba).
Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu, Mheshimiwa Cleopa David Msuya amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya na amemshauri kutokuvunjwa moyo na kile ambacho amekielezea kama “mambo madogo madogo” yanayoendelea ndani ya Bunge Maalum la Katiba.
Aidha, Mzee Msuya amesema kuwa Rais Kikwete hatasahauliwa kwa...