Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yataka vigogo wajipime

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi mpya kuhusu maagizo ya Rais John Magufuli, kwa watendaji wakuu na maofisa masuhuli wote wa wizara, idara na taasisi za Serikali, katika suala zima la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Katika ufafanuzi huo uliotumwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue ametaka kila mtendaji wa Serikali kujihoji mwenyewe, kwamba endapo Rais Magufuli ataamua kufika katika eneo lake la kazi, ni kwa kiasi gani atakuta...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya Kiislamu yataka serikali 2

TAASISI ya Amani kwa Waislamu ya Islamic Peace Foundation (TIPF) imesema muundo wa serikali unaofaa kwa sasa ni Serikali mbili, kinachotakiwa ni kuongeza juhudi katika kurekebisha kasoro zilizopo na siyo kuongeza mzigo kwa kuwa na serikali tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yataka maoni sheria ya mitandao

Na Jonas Mushi, Dar es Salam
SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, katika mkutano wake na waandishi wa habari...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKA MAONI YA SHERIA YA MTANDAO

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa Na Jonas Mushi, Dar es Salam SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu. Kauli hiyo imetolewa jana jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali CAR yataka uchaguzi uahirishwe

Serikali ya mpito nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imependekeza uchaguzi mkuu nchini humo uahirishwe kwa siku tatu.

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka kuwezeshwa zaidi kwa serikali za mitaa

IMG_0984

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kushoto) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) wakikagua mitaala ya kufundishia kwenye ofisi za walimu katika shule ya msingi Yombo ambayo imejengwa na mradi wa awamu ya pili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) iliyopo katika kijiji cha  Chasimba, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa kukagua miradi inayofadhiliwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Taboa yataka Serikali iondoe kodi zote

Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimepongeza hatua ya Serikali ya kupunguza kodi kwenye mabasi kutoka asilimia 25 hadi 10 kwa mabasi yanayobeba abiria 25 lakini ikataka kodi hiyo iondolewe kabisa.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAKA KILA KAYA KUWA NA CHOO BORA

SERIKALI imewaagiza maafisa  wa  afya nchini  kuhakikisha  kila kaya inakuwa  na choo bora  ikiwa ni hatua ya kuhakikisha  jamii inaepekana  na magonjwa  yanayotokana na uchafu  mazingira , sambamba  na   suala la usafi wa mazingira  kuwa endelevu  kama ilivyoagizwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  John Pombe Magufuli.Aidha Serikali imepiga marufuku ulaji wa matunda yaliyomenywa barabarani.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataka vijana kuchapa kazi kwa bidii

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante ole GabrielSERIKALI imewataka vijana kuchapa kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii wanazoishi ikizingatiwa kwamba asilimia 75 ya nguvu kazi ya taifa ni vijana.

 

10 years ago

GPL

UN YATAKA KUWEZESHWA ZAIDI KWA SERIKALI ZA MITAA‏

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kushoto) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) wakikagua mitaala ya kufundishia kwenye ofisi za walimu katika shule ya msingi Yombo ambayo imejengwa na mradi wa awamu ya pili wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) iliyopo katika kijiji cha Chasimba, wilayani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani