Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali CAR yataka uchaguzi uahirishwe

Serikali ya mpito nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imependekeza uchaguzi mkuu nchini humo uahirishwe kwa siku tatu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kwanini uchaguzi Serikali za Mitaa uahirishwe?

Bunge la Katiba kwa mara nyingine limechafuka baada ya kuahirishwa juzi jioni kutokana na kuzuka vurugu ndani ya Bunge hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Marais EAC wataka uchaguzi wa Rais Burundi uahirishwe

Viongozi wa Afrika Mashariki na Afrika Kusini wakiwa jijini Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mgogoro wa Burundi.WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wameitaka Burundi kuahirisha uchaguzi kwa takribani mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya amani nchini humo na kulitaka Bunge kusimamia mchakato huo.

 

5 years ago

CHADEMA Blog

9 years ago

Habarileo

UVCCM yataka uchunguzi wa kina uchaguzi uliofutwa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume huru kuchunguza kwa kina suala la uchaguzi uliofutwa. Kadhalika umetaka tume hiyo ichunguze uendeshwaji wa zabuni ya karatasi za kupigia kura ulivyofanyika hadi kupatikana mzabuni na taarifa yake itolewe kwa umma.

 

9 years ago

Mwananchi

TLP yataka Uchaguzi Mkuu usifanyike Oktoba 25

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), Macmillan Lyimo amesema Uchaguzi Mkuu unatakiwa ufanyike siku ya Jumatatu ya tarehe 26 mwezi Oktoba ili kutoa fursa kwa Watanzania wote kupiga kura.

 

9 years ago

Mwananchi

KKKT yataka haki, usawa Uchaguzi Mkuu 2015

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetaka mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu kuendeshwa kwa haki na usawa, huku likisisitiza elimu ya uraia itakayowawezesha wananchi kufanya uamuzi sahihi Oktoba 25.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yataka vigogo wajipime

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi mpya kuhusu maagizo ya Rais John Magufuli, kwa watendaji wakuu na maofisa masuhuli wote wa wizara, idara na taasisi za Serikali, katika suala zima la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Katika ufafanuzi huo uliotumwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue ametaka kila mtendaji wa Serikali kujihoji mwenyewe, kwamba endapo Rais Magufuli ataamua kufika katika eneo lake la kazi, ni kwa kiasi gani atakuta...

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya Kiislamu yataka serikali 2

TAASISI ya Amani kwa Waislamu ya Islamic Peace Foundation (TIPF) imesema muundo wa serikali unaofaa kwa sasa ni Serikali mbili, kinachotakiwa ni kuongeza juhudi katika kurekebisha kasoro zilizopo na siyo kuongeza mzigo kwa kuwa na serikali tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yataka maoni sheria ya mitandao

Na Jonas Mushi, Dar es Salam
SERIKALI imewataka wananchi kutoa maoni yatakayoiboresha sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete ili yasaidie kuiboresha.
Imesema licha ya sheria hiyo kusainiwa na Rais, bado kuna umuhimu wa kuiboresha katika baadhi ya vipengele vyenye upungufu.
Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, katika mkutano wake na waandishi wa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani