Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya corona: Makamu wa rais wa Sudan Kusini Wani Igga atangaza kuwa na virusi

Makamu wa rais wa Sudan Kusini Dkt James Wani Iga amesema kuwa amepatwa na virusi vya corona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Sudan Kusini yathibitisha kuwa na mgonjwa wa COVID-19

Rais wa Sudan Kusini Dk. Riek Machar anazungumza na waandishi wa habari mjini Juba .

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Msaidizi wa Makamu wa rais Mike Pence akutwa na Corona

Msaidizi mwingine mkubwa wa Mike Pence amekutwa na virusi vya corona siku moja baada ya mfanyakazi mmoja wa White house kukutwa na virusi hivyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Asiyeonesha dalili za kuwa na virusi anaweza kuambukiza wengine?

Utafiti unafanyika kufahamu ukweli kuhusu mwenendo wa maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 260wathibitishwa kuwa na virusi ndani ya saa 24 nchini Kenya

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia wagonjwa 4,738

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1

Taasisi zote za elimu Tanzania zimefungwa toka mwezi Machi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona : Rais Ramaphosa asema mlipuko wa virusi utakuwa mbaya zaidi

Cyril Ramaphosa ametangaza kulegeza masharti ya kukaa nyumbani, na uuzaji wa vilevi unatarajiwa kuanza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais wa Sierra Leone kujitenga baada ya mlinzi kuambukizwa virusi

Sierra Leone mpaka sasa ina wagonjwa 43 wa virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Kenyatta atangaza ametangaza marufuku ya kutotembea mjini Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa

Raia wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza marufuku ya kutoingia poingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kilifi, kwale Mombasa huku idadi ya maambukizi ya virusi vya corona ikiongezeka kwa visa 16 zaidi

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani