Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya Corona: Msaidizi wa Makamu wa rais Mike Pence akutwa na Corona

Msaidizi mwingine mkubwa wa Mike Pence amekutwa na virusi vya corona siku moja baada ya mfanyakazi mmoja wa White house kukutwa na virusi hivyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Makamu wa rais wa Sudan Kusini Wani Igga atangaza kuwa na virusi

Makamu wa rais wa Sudan Kusini Dkt James Wani Iga amesema kuwa amepatwa na virusi vya corona.

 

5 years ago

CCM Blog

MSAIDIZI WA NETANYAHU ATHIBITIKA KUWA NA VIRUSI VYA CORONA

   Msaidizi wa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amethibitika kuwa na virusi vya Corona, maafisa wamesema leo, lakini haijafahamika mara moja iwapo kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 70 ameambukizwa ama kazi yake itaathirika.
 Afisa mmoja wa serikali amesema kuwa hatua zitachukuliwa kwa mujibu wa maelekezo ya wizara ya afya, na kusema msaidizi huyo wa bunge ambaye vyombo vya habari nchini Israel vimemueleza kuwa yuko katika hali nzuri, atafanyiwa uchunguzi.

 Kwa kawaida wizara ya afya...

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO MIAKA 6 AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

  WIZARA ya Afya nchini Kenya imetangaza ongezeko la visa 25 vya #COVID19 baada ya sampuli 1,012 kufanyiwa vipimo na kufanya idadi ya visa nchini humo imefikia 490 huku wagonjwa 6 zaidi wamepona na jumla ya waliopona ni 163.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini humo, Mercy Mwangangi, amesema wagonjwa wapya ni raia wa Kenya wenye umri kati ya miezi 6 na miaka 60 na watu 13 ni wanaume na 12 ni wanawake, wote hawana historia ya kusafiri hivi karibuni.

Katibu huyo ameeleza kuwa wanafanya kazi na...

 

5 years ago

CCM Blog

MCHEKESHAJI PIERRE LIQUID AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Msanii wa Maigizo na Mchekeshaji 'Pierre Liquid' amethibitisha kuwa na virusi vya corona vinavyosababisha homa kali ya Mapafu
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mwanaspoti Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya Amana akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.

Akieleza namna alivyogundulika kuwa ana corona,amesema hii ni baada ya kwenda kupima wiki iliyopita hospitali ya Temeke. "Nina bosi wangu wa karibu ambaye kapata ugonjwa huu na kwa kuwa mara nyingi tuko naye alinishauri na mimi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais wa Madagascar adai kupata tiba ya corona

WHO inasema hakuna ushahidi wa kisayansi wa ubora wa kinywaji hicho cha mitishamba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya Rais Kenya wamepatwa na corona

Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya rais nchini Kenya wamepatikana na virus vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mikel Arteta: Mkufunzi wa Arsenal akutwa na virusi vya corona

Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amekutwa na virusi vya uvya ugonjwa wa corona na mechi kati ya timu yake na Brighton iliyotarajiwa kuchezwa wikiendi imeahirishwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Itakua ni ''uendawazimu'' kuendesha uchaguzi wakati wa corona, asema rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani