Virusi vya corona: Trump amekatisha uhusiano wa Marekani na WHO
Rais Trump anashutumi Shirika la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kukabili ugonjwa wa Covid-19
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili01 May
Virusi vya corona: Kwanini Trump anatofautiana na majasusi wa Marekani kuhusu chimbuko la virusi
Idara ya intelijensia ya Marekani ilisema haina uhakika jinsi mlipuko ulivyoanza, lakini Trump anadai virusi hivyo vilitengenezwa katika maabara.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump
Marekani ina jumla ya wagonjwa wa corona 782,159 na vifo 41,816 kutokana na virusi hivyo.
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya Corona: Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi ni heshima
Mpaka sasa Marekani imethibitisha watu milioni 1.5 walioathiriwa na virusi vya corona na karibu vifo 92,000.
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Madai sita ya Trump kuhusu virusi vya corona Marekani yahakikiwa
Rais wa Marekani amehoji data za WHO na kijisifia jinsi alivyopunguza viwango vya maambukizi. Je anasema ukweli?
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.
5 years ago
BBCSwahili07 May
Virusi vya Corona: Trump ailaumu China kwa shambulio baya zaidi kwa Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani bado anasisitiza kuwa virusi vimetengenezwa maabara China
5 years ago
BBCSwahili26 Apr
Virusi vya corona: Nadharia za uongo kuhusu virusi vya corona kati ya Marekani na China
Tangu mlipuko wa virusi vya corona kutokea nadharia zisizo za kweli kuhusu chimbuko na ukubwa wa janga la corona ni miongoni mwa yaliyoenea kwenye mitandao.
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya corona: Je, Trump yuko sahihi kuikosoa WHO?
Je, madai ya rais Donald Trump kuhusu Shirika la afya duniani kushindwa majukumu yake kukabiliana na corona yana tija?
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Marekani yaidhinisha matumizi ya dawa ya virusi ya Remdesivir
Mamlaka ya dawa na chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya Ebola inayofahamika ama 'remdesivir' kutumika kuwatibu wagonjwa wenye virusi vya corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania