Virusi vya corona:Wagonjwa wapya 15 wa corona waripotiwa Zanzibar
Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imethibitisha kuwa na ongezeko la wagonjwa wapya 15 wa virusi vya corona na kufikia wagonjwa 98 waliothibitika kuambukizwa visiwani humo kutoka wagonjwa 83 ambao walitolewa taarifa tarehe 22 April 2020.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Tanzania yatangaza wagonjwa 7 wapya kisiwani Zanzibar
Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imetangaza wagonjwa saba wapya wa virusi vya corona .
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya Corona: Watu 15 wapona corona Kenya, wagonjwa wapya 11
Hii ni idadi kubwa zaidi ya watu kupona kwa siku nchini Kenya
5 years ago
BBCSwahili05 Apr
Virusi vya Corona: Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 16 wa corona
Kenya imethibitisha kuwa na wagonjwa 142 wa corona baada ya kufanya vipimo watu 530.
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Wagonjwa 23 wa corona wathibitishwa Zanzibar, wawili wafariki
Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 23 wa virusi vya corona na vifo vya watu wawili.
5 years ago
BBCSwahili13 Apr
Virusi vya corona: Wagonjwa 14 wapya wathibitishwa Tanzania
Wizara ya afya nchini Tanzania imetangaza kuwepo kwa wagonjwa 14 wapya wa corona nchini humo.
5 years ago
BBCSwahili21 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa wapya 15 wathibitishwa Kenya
Wagonjwa 11 ni raia wa Kenya na wanne ni raia wa kigeni ambao walikuwa miongoni mwa watu 545 waliofanyiwa vipimo katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya Corona: Wagonjwa 12 wapya wathibitishwa Kenya
watu walioambukizwa nchini kenya wamefikia 396
5 years ago
BBCSwahili10 May
Virusi vya corona: Kenya yathibitisha wagonjwa 23 wapya
Kati ya idadi hiyo wagonjwa 12 wameripotiwa kutoka Mombasa , sita kutoka Mandera wanne kutoka Nairobi na mmoja kutoka Kajiado.
5 years ago
BBCSwahili15 Apr
Virusi vya Corona: Tanzania yathibitisha wagonjwa 29 wapya
Wagonjwa wapya 29 wathibitishwa kuwa na virusi vya corona Tanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania