Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Visa vya marais wetu kutibiwa na kufia nje

TAARIFA kuwa Rais Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (Prostate) bila shaka zilistua wengi kama si wote. Wengi hawakujua, ama walifichwa ukweli kuwa Rais anaumwa. Hawajui ukubwa wa tatizo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Idadi ya visa vya corona Kenya imefikia 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa

Idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imefikia hadi 189, baada ya kuongezeka visa 5 Ijumaa, imetangaza Wizara ya afya nchini humo

 

10 years ago

GPL

Kiongera kutibiwa nje ya nchi

Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
DAKTARI maarufu wa michezo nchini ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema kuna uwezekano mkubwa Simba ikalazimika kumpandisha ndege mshambuliaji wake Paul Kiongera akatibiwe. Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera. Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji. “Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ulimwengu: Ni aibu kwenda kutibiwa nje

MCHAMBUZI wa masuala ya siasa na kijamii, Jenerali Ulimwengu, amesema ni kitendo cha aibu kwa viongozi wa Bara Afrika kwenda kutibiwa nje ya nchi magonjwa madogo ambayo yangeweza kutibiwa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Edgar Lungu kutibiwa nje ya Zambia

Raisi mteule wa Zambia Edgar Lungu ,ameshauriwa na madaktari kwenda kufanyiwa matibabu na wataalamu wa afya nje ya nchi yake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Korti yaruhusu Mramba, Yona kutibiwa nje

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemruhusu Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na  aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Shaka amsimanga Maalim Seif kutibiwa nje ya nchi

>Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana(UVCCM), Shaka Hamdu Shaka amesema uchumi wa Zanzibar ungekuwa mbovu, Serikali isingeweza kumlipia Sh80 milioni kila safari moja, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad kwenda kutibiwa India.

 

11 years ago

Michuzi

Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi  Mawaziri Waandamizi wa zamani,  Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7  kwa kutoa msamaha wa kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali yatangaza visa 7 zaidi vya maambukizi Kenya

Kenya imetangaza visa 7 zaidi vya maambukiz ya corona, idadi hiyo ikifanya idadi ya visa vya maambukizi ya virusi vya corona nchini humo kuwa 179

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kenya yatangaza visa 28 zaidi vya maambukizi ya Covid-19

Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Kenya imepanda hadi kufikia jumla ya watu 649 Jumamosi, baada ya kutangazwa kwa matokeo chanya vya virusi katika sampuli za watu 28 miongoni mwa waliopimwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani