Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitambi vyote Uwanja wa Jamhuri

Kila alfajiri ukifika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, huwezi kuwakosa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uwanjani hapo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMPENI ZA MAGUFULI ZATUA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Dodoma kwenye mkutano wake wa kampeni. Msanii maarufu wa Bongo fleva, Ally Saleh Kiba 'King Kiba' akitoa burudani kwa wakazi wa Dodoma wakati wa mkutano huo. Msanii maarufu wa Bongo fleva, Khaleed Ramadhan Tunda 'Tunda Man' naye akifanya yake. Magufuli akiomba ridhaa kwa Wanadodoma.… ...

 

10 years ago

GPL

VPL: MTIBWA VS YANGA, UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Kikosi cha timu ya Yanga kinachomenyana na Mtibwa sugar, Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar. Donald Ngoma wa Yanga akichuana na mabeki wa Mtibwa.…

 

11 years ago

GPL

MTOTO NASRA AAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO

Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra. Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. (PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL,…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA JAMHURI, MOROGORO‏

Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana jioni.   Boniface Mwaitege naye akawanyanyua kwenye viti mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hilo.…

 

5 years ago

CCM Blog

MTANANGE WA YANGA NA JKT TANZANIA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

 Shabiki wa Yanga akifanya minjonjo yake kushangilia Yanga kusawazisha bao dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu  uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma . Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Wana Yanga wakifurahia  bao la kusawazisha lililofungwa na Patrick Sibomana
 Bao la kuswazisha lililofungwa na Sibomana
 Wachezaji wa Yhanga wakishangilia
 Ni furaha iliyoje kwa wana Yanga hao wakiongozwa na mtoto anayepuliza katarumbeta

 

10 years ago

Michuzi

BONANZA LA WATUMISHI TAMISEMI LAFANYIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) walijumuika kwa pamoja katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma kwa ajili ya kushiriki tamasha maalum kwa ajili ya kuwapongeza watumishi wenzao ambao waliiwakilisha vyema wizara katika mashindano ya SHIMIWI na SHIMISEMITA iliyofanyika mwaka jana.
Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bwana Mohamed Pawaga. Tamasha hilo liliambatana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Uwanja wa Jamhuri kamili kwa Ligi Kuu msimu huu

Maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 kati ya Mtibwa Sugar na Yanga SC yamekamilika mkoani hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0


Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wazidi kuwa watamu uwanjani.

 

10 years ago

GPL

YANGA YAINOA POLISI MORO 1-0 UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akipongezwa na mwenzake baada ya kuifungia timu yake bao pekee dhidi ya Polisi Moro jana. Danny Mrwanda (kati) akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya Polisi Moro.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani