Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VITAMBULISHO, DAFTARI LA WAPIGA KURA LIANGALIWE KWA MAKINI

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nichukue nafasi hii kwa mara nyingine kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuwa na afya njema leo. Kama ninavyosema mara kwa mara, ni wajibu wa kila mmoja wetu kuchukua muda wake, walau kidogo, kumshukuru Mungu kwa sababu daima amekuwa akitenda maajabu makubwa sana kwetu. Wakati nchi ikijiandaa kuelekea kwenye uundwaji wa Bunge la Katiba litakalojadili rasimu ya pili ya Katiba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA MIKOA 4

Maandalizi ya Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo 29/5/2015 zaidi ya BVR 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Uchaguzi Kuanzia mapema Alfajiri kesho,Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara,Arusha,Manyara na Kilimanjaro.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

NEC yakamilisha maandalizi uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa mikoa 4

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR) zipatazo 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kuanzia mapema Alfajiri Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara, Arusha, Manyara na Kilimanjaro.

 

5 years ago

Michuzi

NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12

TUME ya Taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo  maofisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Wilaya na kata,maofisa Tehama wa Wilaya,waandishi wa vituo vya kupigia kura  na BVR Operator.

Shughuli  ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na  itakwenda  sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na  uboreshaji wa  daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani