Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituko vya mwakilishi wa Rais Kikwete

mgsNa Peter Fabian, Mwanza
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ambaye ni mwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapa, amebuni aina mpya ya ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara zake za kikazi.
Aina hiyo ya ulinzi na msafara wake wa magari unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa, akiwemo Rais na Waziri Mkuu, ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kugharimu kiasi kikubwa cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu na kufanya mazungumzo na mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Bwana Philipe Dongier anayemaliza muda wake.Bwana Dongier alikwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU JIJINI DAR

Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Tumechoshwa na vituko vya Bunge

MALUMBANO na lugha chafu miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni mambo ambayo hivi sasa yamewachosha Watanzania kiasi cha kufikia kulichukia Bunge hilo. Wakati hayo yakitokea, Bunge tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vituko vya Waziri Muhongo

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, anaweza kuwa waziri mwenye vituko kuliko wote kwa mwaka uliopita 2013 na mwaka huu mpya wa 2014. Mbali ya kituko cha mwaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Vitimbi, vituko vya tawala Simba

Vitimbi, vituko, na kejeli zilitawala jana makao makuu ya klabu ya Simba wakati wagombea uongozi wakirudisha fomu, huku mgombea urais, Michael Wambura akiambatana na viongozi wa dini waliomwaga sala.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA VIKOSI VYA JWTZ VYA KOMANDO NA UHANDISI MEDANI MKOANI MOROGORO

Na Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na Uhandisi Medali vilivyopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza katika kikao maalum na Maafisa Askari wa vikosi hivyo,Rais Kikwete amesema ameridhishwa sana na utimamu wa vikosi hivyo kimafunzo na pia amehidi kukiongezea vifaa zaidi kikosi cha Uhandisi wa Medani ili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA VIKOSI VYA JWTZ VYA KOMANDO NA UHANDISI MEDANI MKOANI MOROGORO MACHI

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na Uhandisi Medali vilivyopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza katika kikao maalum na wakuu wa vikosi,Rais Kikwete amesema ameridhishwa sana na utimamu wa vikosi hivyo kimafunzo na pia amehidi kukiongezea vifaa zaidi kikosi cha Uhandisi wa Medani ili kiweze kupambana na majanga hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani