Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumechoshwa na vituko vya Bunge

MALUMBANO na lugha chafu miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni mambo ambayo hivi sasa yamewachosha Watanzania kiasi cha kufikia kulichukia Bunge hilo. Wakati hayo yakitokea, Bunge tayari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba vituko tupu

MWENYEKITI wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, jana alinusuru mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa muda baada ya kuibuka vituko. Mbowe katika ushauri...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Vituko vya Waziri Muhongo

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, anaweza kuwa waziri mwenye vituko kuliko wote kwa mwaka uliopita 2013 na mwaka huu mpya wa 2014. Mbali ya kituko cha mwaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Vitimbi, vituko vya tawala Simba

Vitimbi, vituko, na kejeli zilitawala jana makao makuu ya klabu ya Simba wakati wagombea uongozi wakirudisha fomu, huku mgombea urais, Michael Wambura akiambatana na viongozi wa dini waliomwaga sala.

 

10 years ago

Mtanzania

Vituko vya mwakilishi wa Rais Kikwete

mgsNa Peter Fabian, Mwanza
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ambaye ni mwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapa, amebuni aina mpya ya ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara zake za kikazi.
Aina hiyo ya ulinzi na msafara wake wa magari unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa, akiwemo Rais na Waziri Mkuu, ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kugharimu kiasi kikubwa cha...

 

9 years ago

GPL

UMRI MDOGO+ PESA+UMAARUFU = VITUKO VYA JUSTIN BIEBER

Justin Bieber. KAMA wewe ni mdau wa burudani, Jina la JUSTIN BIEBER linaweza lisiwe geni masikioni mwako hasa kutokana na umaarufu mkubwa alioupata kupitia kipaji chake cha uimbaji tangu akiwa kijana mdogo. Bieber aliyeanza kutambulika mwaka 2008 akiwa na miaka 14 na kujulikana zaidi kupitia kibao chake cha Baby alichomshirikisha mkali wa Hip Hop,Ludacris, ameweza kuwa mmoja kati ya wasanii wenye umri mdogo wanaoingiza mkwanja...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sekeseke la Panya Road: Jionee Vituko vya Mzee Majuto na Nisha

Kama mnavyojua, siku ya jana hapa jijini Dar es salaam kulikuwa na taharuki kubwa  ikiwahusisha baadhi ya vijana wanaojikusanya kwenye vikundi na kujiita Panya road  ambao huzunguka mitaani kufaya vurugu na kupora watu na huvyo kusababisha hofu kubwa kwa wakazi wa jijini hapa.

Hivi ni vituko vya waigizaji Mzee Majuto na  Nisha kwa nyakati tofauti, Mzee Majuto akiwa nje ya jiji la Dar, akionekana  “anagonga”  mchemsho wa samaki huku anaongea na simu, JB alimuwekea maneno haya kwenye picha...

 

10 years ago

Bongo5

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao. Chanzo: Daily Mail

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia:Tumechoshwa na serikali

Maelfu wameandamana mjini Sidi Bouzid kulaani serikali kwa kutokupiga hatua za kuridhisha tangu mapinduzi ya kiraia kufanyika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani