VITUKO VYA MTAANI

Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Vituko vya Waziri Muhongo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, anaweza kuwa waziri mwenye vituko kuliko wote kwa mwaka uliopita 2013 na mwaka huu mpya wa 2014. Mbali ya kituko cha mwaka...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Tumechoshwa na vituko vya Bunge
MALUMBANO na lugha chafu miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni mambo ambayo hivi sasa yamewachosha Watanzania kiasi cha kufikia kulichukia Bunge hilo. Wakati hayo yakitokea, Bunge tayari...
10 years ago
Mtanzania17 Jan
Vituko vya mwakilishi wa Rais Kikwete
Na Peter Fabian, Mwanza
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ambaye ni mwakilishi wa Rais Jakaya Kikwete mkoani hapa, amebuni aina mpya ya ulinzi wake binafsi pamoja na msafara wa magari unaoambatana naye anapokuwa katika ziara zake za kikazi.
Aina hiyo ya ulinzi na msafara wake wa magari unaofanana kwa kiwango kikubwa na ule wanaopewa viongozi wakuu wa kitaifa, akiwemo Rais na Waziri Mkuu, ni wa kwanza kushuhudiwa na wakazi wa mkoani hapa na umedaiwa kugharimu kiasi kikubwa cha...
11 years ago
Mwananchi15 May
Vitimbi, vituko vya tawala Simba
9 years ago
GPL
UMRI MDOGO+ PESA+UMAARUFU = VITUKO VYA JUSTIN BIEBER
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Sekeseke la Panya Road: Jionee Vituko vya Mzee Majuto na Nisha
Kama mnavyojua, siku ya jana hapa jijini Dar es salaam kulikuwa na taharuki kubwa ikiwahusisha baadhi ya vijana wanaojikusanya kwenye vikundi na kujiita Panya road ambao huzunguka mitaani kufaya vurugu na kupora watu na huvyo kusababisha hofu kubwa kwa wakazi wa jijini hapa.
Hivi ni vituko vya waigizaji Mzee Majuto na Nisha kwa nyakati tofauti, Mzee Majuto akiwa nje ya jiji la Dar, akionekana “anagonga” mchemsho wa samaki huku anaongea na simu, JB alimuwekea maneno haya kwenye picha...
10 years ago
Bongo516 Feb
Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)
11 years ago
Michuzi.bmp)
JKT Ruvu yaingia mtaani kusajili kwa vipaji vya wachezaji
.bmp)
Zoezi la kusaka wachezaji hao ni la wazi na meneja wa timu hiyo, Joel Frank amewataka wachezaji wote wenye nia ya kucheza ligi kuu msimu ujao kufika kwa wingi katika uwanja huo kuanzia saa 1.30 asubuhi.
Frank alisema kuwa wameamua kutafuta wachezaji kwa mtindo huo kwa lengo la kuona uwezo wao halisi na wala si kwa kukisia kama...
11 years ago
Habarileo13 Dec
Vituko msiba wa Mandela
MKALIMANI aliyekuwa akitafsiri kwa alama kwa ajili ya walemavu wasiosikia yaliyokuwa yakisemwa na viongozi na watu mbalimbali katika mazishi ya kitaifa ya kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB, Johannesburg, Jumanne alipatwa na uchizi jukwaani.