Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituko msiba wa Mandela

MKALIMANI aliyekuwa akitafsiri kwa alama kwa ajili ya walemavu wasiosikia yaliyokuwa yakisemwa na viongozi na watu mbalimbali katika mazishi ya kitaifa ya kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB, Johannesburg, Jumanne alipatwa na uchizi jukwaani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAAJABU 10 MSIBA WA MANDELA

Stori: Na Waandishi Wetu
RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela, mweusi wa kwanza kushika wadhifa huo katika taifa lenye uwezo mkubwa kiuchumi na kijeshi barani Afrika, alifariki dunia Alhamisi iliyopita akiwa nyumbani kwake jijini Johannesburg. Nelson Mandela. Kifo chake kimeushtua ulimwengu na kwa mara ya kwanza katika historia, dunia nzima imesimama nyuma ya jemedari huyo, kila mmoja akionesha masikitiko yake....

 

11 years ago

GPL

SAUZI YAJAA MSIBA WA MANDELA

Wanajeshi wakiwa wameubeba mwili wa hayati Mandela kuelekea ofisi za serikali jijini Pretoria. Mwandishi Wetu na Mitandao
MAOMBOLEZO ya kifo cha aliyekuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela yanaendelea, kubwa kuliko ni nchi hiyo yenye kilomita za mraba 2,798 kufurika waombolezaji kutoka pande zote za dunia na hivyo, hakuna pa kukanyaga na hali hii ni mwanzo na mwisho!… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya Tanzania imeonekana msiba wa Mandela

>Matukio mbalimbali yaliyotokea Jumapili kwenye mazishi ya Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela yamenikumbusha yaliyotokea katika sherehe za miaka 50 tangu kuanzishwa OAU, sasa Umoja wa Afrika (AU).

 

11 years ago

Mwananchi

Mandela, Mandela: Mamilioni wamlilia Tata Madiba

Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akizungumza na waandishi wa habari juzi, alisema kuwa Desemba 8 itakuwa siku ya sala na kukumbuka mambo aliyoyafanya Mandela

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN NYERERE BUTIAMA MKOANI MARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Vituko vyaibuka kura za maoni

KURA za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimefanyika kwa utulivu katika maeneo mengi nchini, huku baadhi ya maeneo kukiibuka hitilafu zilizosababisha baadhi ya wanachama kulala mahabusu.

 

11 years ago

Mwananchi

Vitimbi, vituko vyatawala Simba

Vitimbi, vituko, na kejeli zilitawala jana makao makuu ya klabu ya Simba wakati wagombea uongozi wakirudisha fomu, huku mgombea urais, Michael Wambura akiambatana na viongozi wa dini waliomwaga sala.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vituko vya Waziri Muhongo

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo, anaweza kuwa waziri mwenye vituko kuliko wote kwa mwaka uliopita 2013 na mwaka huu mpya wa 2014. Mbali ya kituko cha mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani