Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vituo 288 kutumika kupiga kura leo Chalinze

UCHAGUZI mdogo wa ubunge Chalinze, Bagamoyo, mkoani Pwani unaofanyika leo ambapo jumla ya vituo 288 vya kupigia kura vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 vitatumika tena. Akizungumzia maandalizi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watu 92,000 kupiga kura Chalinze

JUMLA ya watu 92,939 wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Chalinze utakaofanyika Jumapili ijayo. Takwimu hizo zilitolewa wilayani hapa juzi na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sombetini kutumia vituo 62 kupiga kura

MSIMAMIZI wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho kumpata diwani wa Sombetini katika Jiji la Arusha, Elifasi Mollel, ametangaza vituo 62 kutumika kwa ajili ya kupigia kura kumpata diwani huyo. Mollel ambaye...

 

9 years ago

Michuzi

Muangalizi Mkuu wa EU kutembelea vituo vya kupiga kura Jijini Dar es Salaam Siku ya Uchaguzi

Muangalizi Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) kwa Tanzania, Judith Sargentini, atakuwa akiangalia uchaguzi, katika vituo vifuatavyo, pamoja na vinginevyo Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba:
MudaJimboKataKituo cha kupiga kuraSaa nne –Saa tano asubuhiIlalaKisutuShule ya Msingi Kisutu A-1,2,3,4Mtaa wa KisutuSaa tisa na robo – Saa kumi alasiriKaweMsasaniShule ya Msingi Oyster Bay, C-1,2,3Barabara ya Haile Selassie
Kutakuwa na fursa za waandishi wa habari kufanya...

 

9 years ago

GPL

WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU VITUO VYA NZASA, KENTONI, USTAWI WA JAMII NA MPAKANI 'A' JIJINI DAR

Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yake KITUO CHA KUPIGIA KURA NZASA Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa…

 

9 years ago

BBCSwahili

Bunge la Uingereza kupiga kura leo

Bunge la uingereza linatarajiwa kupiga kura hii leo kuunga mkono kampeni ya Uingereza dhidi ya Islamic State nchini Syria na Iraq

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR Msoga leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete.Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya Uchaguzi...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAUNGANA NA WANACHALINZE KUPIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani