VODACOM ILIVYOZIKUTANISHA TIMU ZA WABUNGE WA ZANZIBAR, MUUNGANO NA UGANDA MIAKA 50 YA MAPINDUZI
Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Vodacom Hassan Saleh akimkabidhi Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho kombe lililotolewa na Vodacom kwa ajili ya mshindi wa mechi maalum kati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Wabunge wa Bunge la Tanzania kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mchezo huo ulichezwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania. Spika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Vodacom yamwaga vifaa kwa wabunge Miaka 50 Mapinduzi
KAMPUNI ya simu ya Vodacom Tanzania, imetoa vifaa na zawadi mbalimbali kwa timu tatu za wabunge kutoka Tanzania bara, Visiwani na Uganda kwa ajili ya michuano ya soka na netiboli...
11 years ago
Michuzi24 Apr
10 years ago
GPLTIMU YA VODACOM YALALA 1-0 KWA CBA MWISHONI MWA WIKI
11 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI NEW YORK
11 years ago
Michuzi04 Apr
Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja
![](https://3.bp.blogspot.com/-OL279nW9uvc/Uz1zvwQU1PI/AAAAAAACtyo/acaJtwiGJMU/s1600/IMG_9328.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/--SlP6p7LWRM/Uz1zs2m6WfI/AAAAAAACtyU/9bKJDwWuU4g/s1600/IMG_9309.jpg)
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Miaka 51 Mapinduzi ya Zanzibar
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 50