Vodacom kujikita zaidi kuboresha huduma za mawasiliano vijijini
![](http://4.bp.blogspot.com/-GKIcKhusLMs/VUCUtnWsH3I/AAAAAAAHT9k/9vYNpEgPnKE/s72-c/unnamed.jpg)
Baada ya huduma za Kilimo Klub,M-Pesa na M-Pawa zinazotolewa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuonyesha mafanikio makubwa ya kutumia mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi kuleta mabadiliko kwenye jamii,hivi sasa kampuni imejipanga kupeleka na kuboresha huduma za mawasiliano vijijini ili ziweze kuwafikia watanzania wengi.Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Kampuni hiyo,Rosalynn Mworia kufuatia kampuni hiyo pamoja na makampuni mengine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS6YsHWC6JXhIcpXbrbkeUR9MRh2iNx96vtLJQ*X3CJkOCA65ue-VaidLqZmNjMo-C9wUJc8ysfJ3CLp3D2EJDlF/006.MKATABA.jpg?width=650)
VODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eTRF36d7Qps/U1aIEBzD7_I/AAAAAAAFcT8/yMcril5FHUE/s72-c/unnamed+(17).jpg)
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
![](http://4.bp.blogspot.com/-eTRF36d7Qps/U1aIEBzD7_I/AAAAAAAFcT8/yMcril5FHUE/s1600/unnamed+(17).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-oYPBc82Rwk8/U1aIFHnaNeI/AAAAAAAFcUE/yoCEBleKf-Y/s1600/unnamed+(18).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s72-c/004.jpg)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-D3lacmOEXz0/U_SXOojZ9wI/AAAAAAAGA5g/rRCeYG-2M7U/s1600/004.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kEpw8MMJLyw/U_SXRz0dGQI/AAAAAAAGA50/_wb7wyKVLgY/s1600/006.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOrAXqFClet9mVhpHYYb2IrbqSSLxy5n4FOHD1pqLpnKnYDOmfsKoB4QCjuTFTlCgXxalQtu7aQlR0Pdqn4ydBC/001.jpg?width=650)
VODACOM YATOA MADA KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE KWENYE WARSHA YA KUSHIRIKISHANA NJIA ZA KUBORESHA NA KUPANUA HUDUMA ZA KIFEDHA
10 years ago
GPLMBARAWA ASHUHUDIA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UfKGM7m-f5c/VoPanXYwgxI/AAAAAAAIPYY/oK6rN8IRnck/s72-c/IMG_9691.jpg)
VODACOM YAKIDHI VIGEZO VYA UTOAJI WA HUDUMA YA MAWASILIANO-TCRA
![](http://2.bp.blogspot.com/-UfKGM7m-f5c/VoPanXYwgxI/AAAAAAAIPYY/oK6rN8IRnck/s640/IMG_9691.jpg)
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom imekidhi vigezo vya utoaji huduma kwa wateja huku makampuni matano yakipigwa adhabu ya sh.milioni 25 kutokana kulaghai wateja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA), Dkt. Ally Simba amesema kuwa...