VODACOM YAKIDHI VIGEZO VYA UTOAJI WA HUDUMA YA MAWASILIANO-TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom imekidhi vigezo vya utoaji huduma kwa wateja huku makampuni matano yakipigwa adhabu ya sh.milioni 25 kutokana kulaghai wateja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA), Dkt. Ally Simba amesema kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVodacom kujikita zaidi kuboresha huduma za mawasiliano vijijini
10 years ago
GPLVODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
10 years ago
GPLMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI
5 years ago
CCM BlogBENKI YA NMB NA SatF ZAZINDUA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIDIJITALI KWA VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB - Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja. Katikati ni Mteja wa NMB Bi. Zaina Mikidadi, kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Benedicto Baragomwa, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Serikali wa NMB Alfred Shao na Kaimu Afisa Mkuu Rasilimali watu- Emmanuel Akonaay.
Benki ya NMB na kampuni ya Savings...
11 years ago
MichuziMAENDELEO YA UJENZI WA VITUO VYA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA MIPAKANI (ONE STOP BORDER POSTS)
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Vedastina Justinian akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu Mradi wa Vituo vya Utoaji Huduma kwa Pamoja Mipakani (One Stop Border Posts) unaolenga kurahisisha taratibu za forodha, uhamiaji, usimamizi wa ubora wa bidhaa, ulinzi na usalama. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Miundombinu ya Kiuchumi Mhandisi Abdillah Mataka na kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari...
11 years ago
MichuziWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
9 years ago
StarTV10 Oct
TCRA yazindua makumbusho ya taifa ya mawasiliano
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Posta duniani kwa kuzindua makumbusho ya Taifa ya mawasiliano jijini Dar es salaam
Akifanya uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo John Mgondo amesema mabadilko ya Teknolojia yamerahisisha mawasiliano
Kuanzishwa kwa makumbusho ya taifa ya mawasiliano kumezingatia sheria ya uhifadhi kwa kukusanya taarifa kutoka...
9 years ago
MichuziTCRA , MIAKA 10 YA UKUWAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO, TANZANIA
TANZANIA na miaka 10 ya ukuaji wa kasi na kuimarika kwa sekta ya Mawasiliano
Na Semu Mwakyanjala, TCRA
KUMEKUWEPO na ukuaji mkubwa na mpana wa sekta ya mawasiliano nchini Tanzania kwa upande wa miundombinu na huduma ambavo kwa pamoja vimeleta faida kwa Watanzania katika miaka ya hivi karibuni. Sekta hii inaongozwa na Sera ya Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano ( TEHAMA) ya mwaka 2003.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, kwa kifupi TCRA, ni chombo huru cha Serikali kinachohusika...