Vodacom yakanusha kuhusika na kampeni za kisiasa
![](http://3.bp.blogspot.com/-3r8PF42DYMU/VdDkzPZ7HzI/AAAAAAAHxSM/OLeIrBb1eQ8/s72-c/download.jpg)
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom imekanusha taarifa za uvumi zilizotangazwa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa inaendesha kampeni kupitia ujumbe mfupi wa maneno kumfanyia kampeni mgombea urais kupitia UKAWA.
Vyombo hivyo viliandika habari za uzushi kuwa Vodacom imeanzisha promosheni kupitia ujumbe mfupi wa maneno inayojulikana kama “Jiunge na Lowassa” kitu ambacho hakipo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Rene Meza ameeleza kuwa kampeni zinazoendeshwa hivi sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCHADEMA YAKANUSHA KUHUSIKA NA KIFO CHA MWANGOSI
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Kampuni ya China yakanusha kuhusika na kuanguka kwa jengo
Wananchi wakingalia jengo la gorofa lililoporomoka katika makutano ya mitaa ya Indira Gandhi na Asia jijini Dar es Salaam mwezi Machi mwaka 2013. (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Kampuni ya ujenzi ya CRJE kutoka China imekanusha vikali kuhusika na jengo la ghorofa lililoporomoka katika makutano ya mitaa ya Indira Gandhi na Asia jijini Dar es Salaam mwezi Machi mwaka 2013.
Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana, inaeleza kuwa kampuni hiyo haikuwahi kushiriki...
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Kampeni ya Trump yakanusha idadi ndogo kuhudhuria mkutano wake
9 years ago
MichuziSERIKALI YAKANUSHA CHADEMA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA KUZINDUA KAMPENI ZAKE.
Akizungumza na vyombo vya habari jana, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene alisema serikali haijatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kutumia uwanja wa taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
Alikiri kwamba...
9 years ago
Bongo528 Sep
Jux adai hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
BASATA yaonya wasanii dhidi ya lugha chafu, maadili wakati huu wa kampeni za kisiasa
Katibu Mtendaji, Basata, Godfrey L. Mngereza.
Katika siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la wasanii kuvunja maadili, kukaidi adhabu na kutumia lugha chafu kwa makusudi katika kazi za Sanaa hususan muziki hali ambayo imezua malalamiko, masikitiko na hofu kwa jamii ambayo ni walaji wa kazi za Sanaa.
Lugha hiyo chafu ambayo inajidhihirisha kwa matusi ya wazi, maneno ya uchochezi, kashfa, kejeli, dharau na udhalilishaji wa kada mbalimbali za kijamii wakiwemo viongozi wa kitaifa inaonesha wazi...
9 years ago
Michuzi14 Sep
Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”
Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s72-c/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)
VODACOM TANZANIA YAJA NA KAMPENI YA"LIFE IS BETTER"
![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s640/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Vodacom Tanzania yaja na kampeni ya ‘life is better’
![](http://4.bp.blogspot.com/-ykUfq3jp4dA/Vm_9UEBTaiI/AAAAAAAIMh8/-WxgIJuDyh0/s640/001.LIFE%2527S%2BBETTER.jpg)