VURUGU ZAZUKA KATIKA MJI WA ILULA MKOANI IRINGA LEO,BAADA YA KIFO CHA MWANAMKE MMOJA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-yrurJD7aeWU/VOyh4nU5JuI/AAAAAAAHFnY/Fj69Tz5AU7I/s72-c/IMG-20150224-WA0007.jpg)
Wananchi wa mji wa Ilula katika wilaya ya Kilolo mkoani Iringa leo wamezua tafrani dhidi ya Askari Polisi baada ya mwanamke mmoja kupoteza maisha kwa kudaiwa kusababishwa na Askari hao waliokuwa kwenye msako wa kukamata watu wanaokunywa pombe wakati wa kazi.
Kutokana na tukio hilo, mwanamke huyo aliyepoteza Maisha aliyetambulika kwa jina la Mwanne Mtandi aliamua kukimbia kwa lengo la kukwepa kukamatwa na Polisi hao Kabla ya kukutwa nyuma ya jengo la kilabu hicho cha pombe za kienyeji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Vurugu zazuka mji wa Baltmore Marekani
10 years ago
StarTV26 Feb
Vurugu Ilula, Polisi Iringa yashikilia watu 18.
Na Oliver Motto,
Iringa.
Watu 18 wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika vurugu zilizotokea kwenye mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa baada ya wananchi wenye hasira kuvamia kituo cha Polisi Ilula na kuchoma magari matano na pikipiki moja wakimtuhumu askari kusababisha kifo cha Mwanne Mtandi mfanyabiashara wa pombe za kienyeji.
Polisi mkoa wa Iringa ilitoa taarifa hiyo katika tathmini fupi ya tukio la vurugu hizo zinazodaiwa kusababisha majeruha kwa askari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod0mt2CdoaHvHTb0pVSrIe0Z09f-zP98fgFbGoE43efJUivyI5orBD4wDw*Y7neXaxWm58YI78X2EjyrHrlQmq3f/BUJUMBURA.jpg?width=650)
VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS
5 years ago
CCM Blog28 May
VURUGU ZAZUKA MAREKANI BAADA YA MTU MWEUSI GEORGE FLOYD KUFARIKI MIKONONI MWA POLISI
![Waanndamanaji walifika kwenye eneo ambalo polisi wanaohusika na mauaji wanadhaniwa kufanya kazi](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/F700/production/_112523236_42c0b123-452d-4535-9760-e1b80fb3f1fe.jpg)
10 years ago
Michuzivurugu zazuka kariakoo leo,wengi wapoteza fahamu
![](http://4.bp.blogspot.com/--NdybtcXQpk/VJmWHDjGlGI/AAAAAAAG5ZU/5H6LdT9AKxw/s1600/kariakoo2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Soz4C1GAsRI/VJmWH5COS6I/AAAAAAAG5Zw/wWlsllllQe8/s1600/kariakoo3.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QOwA3H--RtQ/U1VAqKk_nsI/AAAAAAAAFWo/FSbnbPLRrwk/s72-c/Untitled-1.jpg)
TAARIFA RASMI KWA UMMA YA KIFO CHA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MHE. MOSHI CHANG'A, KUZIKWA JUMATANO MKOANI IRINGA
MKOA WA RUKWA Anuani ya simu:”REGCOM” Simu Na:(025)-2802138/2802144 Fax Na. (025) 2802217 Baruapepe: rasrukwa@yahoo.com
![](http://2.bp.blogspot.com/-QOwA3H--RtQ/U1VAqKk_nsI/AAAAAAAAFWo/FSbnbPLRrwk/s1600/Untitled-1.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella M. Manyanya (Mb) kwa masikitiko makubwa anapenda kuwajulisha juu msiba mkubwa ulioukumba Mkoa wetu wa Rukwa wa kuondokewa na Mkuu wa...
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Maandamano London: Tulimsaidia mtu mmoja kutouwawa katika maandano ya Kifo cha George Floyd
11 years ago
Michuzikikao cha baraza la madiwani chafanyika mkoani iringa leo
10 years ago
Mwananchi26 Feb
18 mbaroni, wahusishwa na vurugu Ilula