Vurugu zazuka mji wa Baltmore Marekani
Vurugu kubwa za mapigano baina ya polisi na waandamanaji zimetokea nchini Marekani katika mji wa Boltimore, baada ya maziko ya kijana Freddie Gray ambaye alikufa kutokana kujeruhiwa alipokuwa mikononi mwa polisi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yrurJD7aeWU/VOyh4nU5JuI/AAAAAAAHFnY/Fj69Tz5AU7I/s72-c/IMG-20150224-WA0007.jpg)
VURUGU ZAZUKA KATIKA MJI WA ILULA MKOANI IRINGA LEO,BAADA YA KIFO CHA MWANAMKE MMOJA.
Kutokana na tukio hilo, mwanamke huyo aliyepoteza Maisha aliyetambulika kwa jina la Mwanne Mtandi aliamua kukimbia kwa lengo la kukwepa kukamatwa na Polisi hao Kabla ya kukutwa nyuma ya jengo la kilabu hicho cha pombe za kienyeji...
5 years ago
CCM Blog28 May
VURUGU ZAZUKA MAREKANI BAADA YA MTU MWEUSI GEORGE FLOYD KUFARIKI MIKONONI MWA POLISI
![Waanndamanaji walifika kwenye eneo ambalo polisi wanaohusika na mauaji wanadhaniwa kufanya kazi](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/F700/production/_112523236_42c0b123-452d-4535-9760-e1b80fb3f1fe.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Mar
VURUGU KUBWA ZAZUKA TUNDUMA
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2658880/highRes/970574/-/maxw/600/-/5xpj6s/-/maoni.gif)
Wakazi wa Mji wa Tunduma, Wilaya ya Momba, Mbeya wakiangalia moto uliowashwa katikati ya Barabara ya Tunduma-Sumbawanga jjana baada ya kutokea vurugu baina ya wananchi na askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia.
Tumepata habari za kusikitisha kutoka Tunduma mkoani Mbeya kwamba, kwa siku tatu mfululizo, mji huo, ambao ni lango la biashara kusini mwa Tanzania, uligeuka uwanja wa mapambano kati ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) na makundi ya vijana.Taarifa ya Jeshi la Polisi ilisema kwamba vurugu...
9 years ago
StarTV18 Aug
Vurugu zazuka ofisi ya Chadema morogoro mjiniÂ
Kumezuka vurugu katika ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wilaya ya Morogoro mjini baada ya wagombea ngazi ya udiwani katika kata 7 za Wilayani humo kudaiwa kukatwa majina yao kutokanana na vitendo vya rushwa kutawala katika mchakato huo .
Vurugu hizo zimetokea majira ya saa 7 mchana baada ya wagombea na wanachama wa chama hicho kwenda katika ofisi za wilaya ili kupata sababu za viongozi wa juu wa chama hicho kuwakata wagombea walioshinda katika kinyang’anyiro...
10 years ago
Michuzivurugu zazuka kariakoo leo,wengi wapoteza fahamu
![](http://4.bp.blogspot.com/--NdybtcXQpk/VJmWHDjGlGI/AAAAAAAG5ZU/5H6LdT9AKxw/s1600/kariakoo2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Soz4C1GAsRI/VJmWH5COS6I/AAAAAAAG5Zw/wWlsllllQe8/s1600/kariakoo3.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Mgombea CCM atangazwa mshindi kabla ya kura, Chadema wagoma, vurugu zazuka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod0mt2CdoaHvHTb0pVSrIe0Z09f-zP98fgFbGoE43efJUivyI5orBD4wDw*Y7neXaxWm58YI78X2EjyrHrlQmq3f/BUJUMBURA.jpg?width=650)
VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS
9 years ago
Habarileo27 Oct
Polisi wazima vurugu za CUF Mji Mkongwe
WAKATI wakisubiri matokeo ya uchaguzi ya rais huku Tume ya Uchaguzi ikitangaza kura za wagombea wabunge na uwakilishi katika majimbo ya uchaguzi Zanzibar, Jeshi la Polisi limelazimika kuzima fujo na vurugu kutoka kwa wafuasi wa CUF waliotanda mitaa ya Mji Mkongwe na barabara kuu ya Darajani.
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Obama na vurugu za Marekani