Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyama vya siasa vyaaswa kuwapatia wanachama elimu ya uwadilifu

Vyama vya siasa nchini vinatakiwa kuwekeza kwa wanachama wake kwa kuwaandaa katika elimu ya uongozi na maadili kama ilivyokuwa miaka ya nyuma ambapo viongozi walikuwa wanaandaliwa ili kusaidia kupata viongozi waadilifu na wawajibikaji.

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Josephat Itika amesema hayo katika kongamano la maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inayoandaliwa kila mwaka na Chuo Kikuu hicho.

 Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof Josephat Itika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Msajili kuhakiki wanachama vyama vya siasa

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, inatarajia kufanya uhakiki wa wanachama wa vyama vyote vya siasa kupata takwimu sahihi ya idadi yao.

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA VYAMA VYA SIASA VIKIJADILI MASUALA LA ELIMU NA AFYA

MDAHALO WA VYAMA VYA SIASA JUMAPILI 13 SEPTEMBER SAA SABA MCHANA Tarehe: Jumapili Septemba 13 2015
Muda: 7:00 – 10:00am (Saa saba mchana hadi saa kumi jioni)
Mahali: Ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) – Posta

Midahalo hii inalenga kuvipa vyama vyote fursa ya kunadi Ilani zao na kwa wananchi kuuliza maswali muhimu yatakayo pelekea maamuzi yao katika uchaguzi. Vyama vinavyoshiriki ni vile vyenye wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

Haja ya Hoja: vyama vya siasa na hama hama ya wanachama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu

Mwaka huu tumeshuhudia uhamaji wa wanachama  na viongozi  wa vyama kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine kuliko kipindi chochote katika historia ya vyama vingi  nchini Tanzania. Wengi wametafsiri hali hiyo kuwa ni ukuwaji wa demokrasia. Jambo ambalo lina ukweli wa aina fulani. Lakini ukiangalia kwa undani wahamaji wa pande zote wamekuwa wakitoa sababu zinazofanana, na yumkini kuhama baada ya matukio yanayofanana kutokea katika  vyama vyao. Wengi wamehama mara baada kukosa nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA VYAMA VYA SIASA WAJITOKEZE KUWANIA NAFASI MBALI MBALI KUWANIA NAFASI NEC

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akikabidhiwa Fomu za kuwania nafasi ya Ujumbe wa Baraza laWawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda kutoka kwa Afisa wa UchaguziWilaya ya Kaskazini B Ndugu Makame Pandu Khamis.
 Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini B Nd. Makame
Pandu Khamis akitoa maelezo kumpatia Balozi Seif ya namna ya ujazajiwa fomu za kuwania Uwakilishi Jimbo la Mahonda Ofisini kwake MahondaWilaya ya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unaguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

10 years ago

GPL

USINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!

Elnest Mangu. TANZANIA tuna majeshi kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambulika kisheria. Tunalo Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza. Chini yake, JWTZ unawakuta JKT, kwa polisi, tunao Zimamoto, FFU, Usalama barabarani (Trafiki) na Mgambo. Majeshi na vikosi hivi vina majukumu yanayofahamika na kukubalika. Kwa hiyo haishangazi tunapoona polisi wakitumika kuwakamata majambazi, ambao wakati mwingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani