Vyoo vya ‘passport size’ dili Dar es Salaam
Kwa mtu anayefika Dar es Salaam mara ya kwanza, moja ya vitu vinavyoweza kumshangaza na pengine kumchukua muda mrefu kuvizoea ni aina ya vyoo vinavyotumika maeneo mengi ya uswahilini maarufu kama ‘passport size’.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJAMAA AKIJIMWAGIA MAJI KICHWANI KWA STYLE YA PASSPORT SIZE
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa vituo vya mapumziko na vyoo vya wasafiri katika kijiji cha Idetero, Mufindi-Iringa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, jana Okt 17, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA VITUO VYA MAPUMZIKO NA VYOO VYA WASAFIRI KATIKA KIJIJI CHA IDETERO, MUFINDI-IRINGA.


10 years ago
Vijimambo24 Aug
UN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)

11 years ago
Dewji Blog08 Sep
Mampando wakabidhiwa kituo na vyoo vya kisasa
Meneja wa shirika la HAPA la mkoa wa Singida, David Mkanje, akiwa katika kutekeleza majukumu yake mbalimbali.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Ikungi
SHIRIKA lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala ya afya, maji na usafi wa mazingira (HAPA) la mkoa wa Singida, limetumia zaidi ya shilingi 15 milioni kujenga kituo cha ushauri na ujenzi wa vyoo bora katika kijiji cha Mampando kata ya Ntutu wilaya ya Ikungi.
Ujenzi wa kituo hicho cha aina yake katika wilaya ya Ikungi,...
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Umoja wa Mataifa kuboresha vyoo vya Shule 10 Kilimanjaro
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na walimu mara baada ya kuwasili katika shule ya msingi Kiboriloni kwa ajili ya kushiriki zoezi la kuweka msingi kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule hiyo. Kulia kwake ni Afisa Tawala Mkuu katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Omari Msuya. (Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Mwandishi Wetu, Moshi
MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa nchini,...
11 years ago
Michuzi
Vyoo vipya 18 vya Skuli ya Kijitoupele Zanzibar vyafunguliwa rasmi


