Waandikishaji BVR wafungiwa kituoni
Kazi ya uandikishaji wapigakura imezidi kukumbwa na matatizo baada ya wananchi kuwafgungia waandikishaji ndani ya kituo kutokana na kupata taarifa kuwa muda uliopangwa kwa ajili ya mitaa ya Buhalahala, Kisesa na Moringe umekwisha, huku wakiwa hawajapata nafasi ya kusajiliwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Davido, Wizkid wafungiwa
LAGOS, Nigeria
SHIRIKA la Utangazaji nchini Nigeria (NBC), limetangaza kuzifungia nyimbo mbalimbali zisizo na maadili, zikiwemo za wasanii nyota wa nchini humo, Davido na Wizkid.
Wimbo wa Davido uliotangazwa kufungiwa ni ‘In Do Me’ na wimbo wa Wizkid uliofungiwa ni ‘In My Bed’, nyimbo hizo zimefungiwa kupigwa kwenye vituo vyote vya runinga na radio nchini humo kutokana na kukosa maadili kwa jamii.
Nyimbo nyingine ambazo zimefungiwa kupigwa kwenye radio na runinga nchini humo ni pamoja na...
11 years ago
GPL
WEMA,DIAMOND WAFUNGIWA KAZI!
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Blatter, Platini wafungiwa miaka minane
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UPORWAJI WA SILAHA KITUONI...
Polisi bado njia panda
NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi nchini limesema silaha zilizoporwa na majambazi katika tukio uvamizi wa kituo cha polisi cha Kimanzichana bado hazijapatikana na hakuna mtu anayeshikiliwa.
Tukio hilo lilitokea Juni 11, mwaka huu ambapo majambazi walivamia kituo hicho usiku wa manane na kuua askari mwenye namba D.9887 Koplo Joseph Ngonyani.
Silaha zilizoporwa katika kituo hicho ni Shot gun tatu na SMG mbili za Jeshi la Polisi.
Akizungumza na Uhuru jana, Kamishna wa...
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Mahabusu wa kike, kiume wafungiwa chumba kimoja
WANANCHI wa Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamelaani kitendo cha Katibu Mtendaji wao, Anderson Yamaliha, kuwakamata wanaume watano, mwanamke mmoja na kuwafungia chumba kimoja, akidai...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Blatter, Platini wafungiwa miaka 8 kutojihusisha na soka
Platini (kushoto) akiwa na Blatter
Zurich, Uswisi
Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), Sepp Blatter na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Fifa na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (UEFA), Michel Platini, wamekutwa na hatia katika sakata la rushwa na matumizi mabaya ya ofisi yaliyokuwa yakiwakabili na kila mmoja amefungiwa miaka 8 kutojihusisha na masuala yoyote yanayohusu mchezo wa soka.
Blatter (kushoto) akiwa na Platini
Hukumu hiyo imetolewa na kamati ya maadili ya Fifa leo...
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Walalamikia uchafu kituoni Mbagala
10 years ago
Habarileo01 Mar
Tibaijuka, Chenge, Ngeleja wafungiwa vikao vya chama
KAMATI Kuu ya CCM (CC) imewasimamisha uongozi wa vikao vya chama, vigogo watatu wa chama hicho, akiwemo Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kuhusishwa na sakata la Escrow.
10 years ago
Vijimambo22 Jan
Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni

Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.
Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...