UPORWAJI WA SILAHA KITUONI...
Polisi bado njia panda
NA MWANDISHI WETU
JESHI la Polisi nchini limesema silaha zilizoporwa na majambazi katika tukio uvamizi wa kituo cha polisi cha Kimanzichana bado hazijapatikana na hakuna mtu anayeshikiliwa.
Tukio hilo lilitokea Juni 11, mwaka huu ambapo majambazi walivamia kituo hicho usiku wa manane na kuua askari mwenye namba D.9887 Koplo Joseph Ngonyani.
Silaha zilizoporwa katika kituo hicho ni Shot gun tatu na SMG mbili za Jeshi la Polisi.
Akizungumza na Uhuru jana, Kamishna wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jun
Majambazi waua Polisi kituoni, wapora silaha
MAJAMBAZI wamevamia Kituo cha Polisi Kimanzichana mkoani Pwani, na kuua askari mmoja, D.9887 Koplo Joseph Ngonyani, na kupora silaha tano zenye risasi.
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qgSCQmBKkgc/VO-Bj_afkBI/AAAAAAAAIfY/1uEf9KbElts/s72-c/Mgonjwa.jpg)
Mh. Al Shaimar Kweigyir amtembelea majeruhi wa tukio la uporwaji wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qgSCQmBKkgc/VO-Bj_afkBI/AAAAAAAAIfY/1uEf9KbElts/s1600/Mgonjwa.jpg)
Katika ziaraa hiyo kwenye Hospitali ya Bugando jijini Mwanza, Mh Shaimar aliongozana pia na Katibu Tawala Msaidizi wa Ofisi ya Mkoa wa Mwanza, Crencencia Joseph na August Tesha, ambaye ni Meneja wa Bayport Financial Services mkoani Mwanza.
Wakiwa Hospitali ya Bugando, Mbunge Shaimar na...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Waandikishaji BVR wafungiwa kituoni
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Walalamikia uchafu kituoni Mbagala
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Gari la tume lazua utata kituoni
10 years ago
Vijimambo22 Jan
Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mangu-22Jan2015.jpg)
Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.
Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...
10 years ago
Mwananchi06 Apr
Polisi ajiua kwa risasi kituoni
9 years ago
Habarileo26 Oct
RC aungana na wapiga kura kuwahi kituoni
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa ni miongoni mwa wananchi waliojitokeza kupiga kura katika kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Dodoma Mlimani, kata ya Tambuka Reli huku vijana wakidai hawapo tayari kulinda kura vituoni.