Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi marufuku vikao vya kamati

Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba imefuta mpango wake wa awali na kuamua vikao vyote vya Kamati za Bunge hilo, vitafanyika kwa faragha kwa kutoruhusu waandishi wa habari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Marufuku vikao vya halmashauri bila wabunge

HALMASHAURI zote za wilaya nchini zimepigwa marufuku kuandaa vikao vya halmashauri bila kutoa taarifa kwa wabunge kwa sababu nao wana haki ya kuhudhuria vikao hivyo Kikatiba. Hayo yalielezwa Bungeni  mjini...

 

10 years ago

Michuzi

Vikao vya Kamati za Bunge Oktoba na Novemba 2014

Kamati ya Bunge ya Bajeti inatarajia kuanza vikao vyake kuanzia tarehe 13 Oktoba hadi 2 Novemba, 2014. Katika vikao hivyo Kamati inatarajia kushughulikia Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (Tax Administration Bill, 2014) na Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (Value added Tax Bill, 2014). Katika kutekeleza azma hiyo, Kamati imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (Tax Administration Bill, 2014) na Muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani...

 

10 years ago

Michuzi

Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu Oktoba 20,  2014. 
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam

IMG_0694

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.

Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI YA URATIBU YA SHIRIKISHO LA VYUO ELIMU YA JUU YAANZA VIKAO VYA SIKU MBILI

 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zainab Abdallah (MNEC) akiongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Taifa ya la Vyuo vya Elimu ya juu kilichofanyika kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Zainab Abdallah (MNEC) akiongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Taifa ya la Vyuo vya Elimu ya juu, kulia ni Katibu Mtendaji Ally S. Hapi

 Mwenyekiti wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KATIKA VIKAO VYAKE VYA MEI 23-24

Kiongozi wa Chama (ACT), Zitto Zuberi Kabwe. KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ilikuwa na kikao chake cha kawaida cha siku mbili kilichokaa tarehe, 23 na 24 mwezi huu na kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Anna Mghwira, pia kilihudhuriwa na kiongozi wa Chama Zitto Zuberi Kabwe. Agenda za vikao hivyo vya siku mbili zilikuwa ni Uteuzi wa nafasi mbali mbali za kiutendaji ndani ya chama Operesheni majimaji Ratiba ya Uchaguzi mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani