Marufuku vikao vya halmashauri bila wabunge
HALMASHAURI zote za wilaya nchini zimepigwa marufuku kuandaa vikao vya halmashauri bila kutoa taarifa kwa wabunge kwa sababu nao wana haki ya kuhudhuria vikao hivyo Kikatiba. Hayo yalielezwa Bungeni mjini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Dec
Halmashauri marufuku kuandaa vikao bila wabunge
HALMASHAURI zote za wilaya nchini zimepigwa marufuku, kuandaa vikao vya halmashauri bila kuwapatia taarifa wabunge kwa kuwa pia wanahaki ya kuhudhuria vikao hivyo Kikatiba.
10 years ago
Mtanzania05 Jun
‘Wabunge hudhurieni vikao kwenye halmashauri’
SERIKALI imesema ni wajibu wa wabunge wote wenye majimbo na wale wa viti maalumu kuhudhuria vikao vya mabaraza ya madiwani kwenye halmashauri zao.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, wakati akijibu swali la Mbunge wa Meatu, Meshack Opulukwa (Chadema).
Katika swali lake, Opulukwa alitaka kujua kauli ya Serikali kuhusu baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri kuwazuia wabunge kuhudhuria baadhi ya...
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Waandishi marufuku vikao vya kamati
10 years ago
Vijimambo
WABUNGE 5 WAMEPEWA ADHABU YA KUTOKUHUDHURIA VIKAO VYA MKUTANO WA 20 WA BUNGE.

5 years ago
Michuzi
CHADEMA YAAMUA KUZUIA WABUNGE WAKE KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI,KUKAA KARANTINI KWA SIKU 14 KUKABILI CORONA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)kimewataka Wabung wake wote kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti pamoja na kuhudhuria vikao vya Kamati za Bunge.
Pia Chama hicho kimewataka wabunge wake kujiweka karantini kwa muda usiopungua siku14 kama hatua ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambayo ameitoa leo Mei 1,2020 kwa vyombo vya habari amesema ni wakati wa kila mmoja wao kuchukua hatua za kijikinga na...
9 years ago
StarTV18 Dec
Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa halmashauri ya kongwa Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...
10 years ago
GPL05 Oct
5 years ago
Michuzi