Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa Mwananchi wajipongeza baada ya uchaguzi

Waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, MCL, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti walifanya hafla ya kujipongeza baada ya kazi nzito ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waandishi Mwananchi watunukiwa

Chuo cha Royal College of Tanzania (RCT), kimewatunuku vyeti vya heshima waandishi wawili wa gazeti la Mwananchi kwa kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho, baada ya kufanya vyema katika Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2013/2014.

 

9 years ago

Mwananchi

Magazeti ya Mwananchi yaibuka tena kidedea uchaguzi

Kwa mara ya tano mfululizo, magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameibuka kinara wa kuandika habari za uchaguzi bila upendeleo kwa vyama vya siasa wala wagombea tangu kuanza kwa kampeni zilizodumu kwa siku 64.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwananchi, The Citizen yang’ara habari za uchaguzi

Magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameendelea kung’ara katika kuandika habari makini zisizo na upendeleo wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JPM NI NOMA! UKIBEEP TU, WANAPIGA! DKT MPANGO ATINGA TRA SAMORA BAADA YA MWANANCHI KUTUPIA UJUMBE MTANDAONI

Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Mpango (kushoto), akizungumza na walipa kodi hao kwenye tawi la TRA, barabara ya Samora jijini Dar es salam leo Desemba 8, 2015.  KUNA ule msemo wa watu wa mjini, "Uki-beep, napiga" na kweli leo hii Desemba 8, 2015 pale Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, barabara ya Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, mlipa kodi mmoja alitupia ujumbe kwenye mtandao wa kijamii akiomba wataalamu wa IT wa TRA, wafike haraka kwenye ofisi zao za TRA Barabara ya Samora kwani...

 

5 years ago

Michuzi

Mwananchi apanga kufungua shauri,Mahakama izuie uchaguzi mwaka huu,fedha zielekezwe kupambana na Corona



Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwananchi mmoja anaefahamika kwa jina la Johnson Mgimba mkazi wa Njombe Mjini amesema kutokana na ugonjwa wa covid19 kuendelea kushika kasi nchini na duniani kote , amekusudia kufungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Iringa ya kuomba serikali kusitisha mchakato na maandalizi ya uchaguzi mkuuu na fedha iliyotengwa kuelekezwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Raia huyo ambaye amejibatiza jina la kijana mzalendo amesema kuna kila sababu ya kusitisha uchaguzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

10 years ago

Habarileo

Wajipongeza nafasi ya mwanamke Katiba mpya

UMOJA wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG)wamejipongeza kwa hatua waliyofikia na manufaa waliyoyapata wanawake katika Rasimu ya mwisho ya Katiba inayopendekezwa.

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI WA SERIKALI YA MTAA WA MIGOMBANI WAINGIA KWIKWI BAADA YA AFISA MTENDAJI WA KATA YA SEGEREA KUJA KUTANGAZA KUSITISHA UCHAGUZI

Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.Hali ya kushtusha imetokea katika uchaguzi wa Serikali ya Mtaa wa Migombani  baada ya Afisa Mtendaji  kufika  na kutangaza kimyakimya Kuwa UChaguzi huo umesitishwaMara baada ya wakazi wa mtaa wa migombani kusikia ndipo walipoanza sasa kutafuta mchawi na kumtia nguvuni afisa mtendaji huyo wa mtaa kwa kutaka kujua sababu za msingi zinazopelekea yeye kuja kutangaza kusitisha uchaguzi huo.Afisa mtendaji huyo baada ya kuulizwa sababu za msingi alijitetea kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani