Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi Mwananchi watunukiwa

Chuo cha Royal College of Tanzania (RCT), kimewatunuku vyeti vya heshima waandishi wawili wa gazeti la Mwananchi kwa kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho, baada ya kufanya vyema katika Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2013/2014.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji

RRMoE4

 Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.

Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...

 

9 years ago

Mwananchi

Waandishi wa Mwananchi wajipongeza baada ya uchaguzi

Waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, MCL, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti walifanya hafla ya kujipongeza baada ya kazi nzito ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora

Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii watunukiwa tuzo Siku ya Msanii

JANGALANA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

WASANII wanne wa sanaa mbalimbali nchini juzi wametunukiwa tuzo maalumu katika usiku wa tuzo za wasanii zilizofanyika katika ukumbi wa Nyumba ya Sanaa, Posta Dar es Salaam.

Tuzo hizo zilitolewa na Katibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Elisante Gabriel, huku ikihudhuriwa na wasanii mbalimbali.

Tuzo ya kwanza ya heshima ya sanaa za maonyesho ilikwenda kwa mwigizaji mkongwe nchini ambaye michezo yake ilikuwa ikisikika kwenye redio Tanzania...

 

11 years ago

Habarileo

123 watunukiwa Shahada ya Ualimu Mzumbe

VYUO vikuu nchini vinaendelea kupunguza pengo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari nchini baada ya wahitimu 123 wa Chuo Kikuu Mzumbe kutunukiwa shahada ya kwanza sayansi na ualimu wa masomo mbalimbali, ikiwemo hisabati, biashara na lugha ya menejimenti.

 

10 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA SHERIA 68 WA MAJIMBO YA ZANZIBAR WATUNUKIWA VYETI

BAADHI ya watendaji wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZLSC, wakifuatilia hutuba iliotolewa na rais wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu na haki za watu, jaji Agostino Ramadhan alioitoa kwenye mahafali ya tatu ya wasaidizi wa sheria wa majimbo ya Ugunja na Pemba, yaliofanyika ZSSF mjini Chake chake Pemba.MKURUGENZI mtendaji wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar ZSLC, Harusi Miraji Mpatani, akielezea dhana ya wasaidizi wa sheria ilivyozaa matunda, ambayo ilianzishwa na kituo hicho...

 

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MBIO ZA BAISKELI ZA SHIMIWI WATUNUKIWA MEDALI


 Mshiriki wa mbio za baiskeli za wanawake kutoka RAS Pwani akijitahidi kukaza mwendo katika mbio za baiskeli za kilomita 32 zilizoanzia kituo cha Melela Mlandizi na kuishia kituo cha Lake Oil katika mashindano ya SHIMIWI  mjini Morogoro leo. Mwenyekiti wa SHIMIWI Taifa Bw.Daniel Mwalusamba (wa pili kutoka kulia)  akimvisha medali ya fedha mshindi wa pili wa mbio za baiskeli kwa wanawake kutoka  RAS Pwani, Agatha Gambi (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo mjini Morogoro leo....

 

11 years ago

Michuzi

Polisi TPA watunukiwa kwa kuimarisha usalama bandarini

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akimpongeza mmoja wa askari wa bandari ya Dar es Salaam, Cornel Kufahaidhuru katika hafla fupi ya kuwazawadia askari 18 wa mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) kwa kazi nzuri ya kuimarisha ulinzi katika bandari hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Serikali imetoa sifa kwa kitengo cha usalama cha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kuimarisha ulinzi katika bandari na hivyo kuchangia kuifanya bandari hiyo kuongeza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa TBL Group watunukiwa vyeti vya ufanisi

Make difference 8

Mkurugenzi wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin akiwa katika picha na baadhi ya wafanyakazi waliotunukiwa tuzo ya you Make the Difference  katika kiwanda cha Dar es Salaam.

make the difference 2

Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin (Kushoto) akiwa na mfanyakazi wa kitengo cha ufundi wa kiwanda cha Mbeya Godwin Kambi baada ya kumtunukia cheti kwa kufanyia kazi kiwandani hao kwa kipindi cha miaka 15.Hafla  ya kuwatunuku wafanyakazi vyeti ilifanyika hivi karibuni kiwandani hapo.

make the difference 3

Margaret Simon Mlwale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani