WASHINDI WA MBIO ZA BAISKELI ZA SHIMIWI WATUNUKIWA MEDALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-bK_8oILi5-0/VDGAk6N-TfI/AAAAAAAGoGM/nFHnzU-SfUU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mshiriki wa mbio za baiskeli za wanawake kutoka RAS Pwani akijitahidi kukaza mwendo katika mbio za baiskeli za kilomita 32 zilizoanzia kituo cha Melela Mlandizi na kuishia kituo cha Lake Oil katika mashindano ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Mwenyekiti wa SHIMIWI Taifa Bw.Daniel Mwalusamba (wa pili kutoka kulia) akimvisha medali ya fedha mshindi wa pili wa mbio za baiskeli kwa wanawake kutoka RAS Pwani, Agatha Gambi (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo mjini Morogoro leo....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Michuano ya kimataifa, mbio za Baiskeli
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Mbio za baiskeli zasogezwa, zarudishwa Dar es Salaam
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Mikoa ya Shinyanga na Mwanza yaendelea na ubabe mbio za baiskeli
Mshindi wa mbio za Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge, Masunga Duba aliyeinua mikono akishangilia mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mbele ya wenzake. Mshindi huyo anatoka mkoa wa Shinyanga.
Mmoja wa washiriki wa mbio hizo akinywa maji wakati wa mashindano hayo.
Washiriki wa mbio za Acacia tufanikiwe pamoja lake zone cycle challenge wakimenyana vikali wakati wa mashindano hayo.
Makamu wa rais wa Kampuni ya Uchimbaji wa dhahabu ya Acacia, Deo Mwanyika (wa kwanza...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LdLIixoMbrc/VYFj1-oUeMI/AAAAAAAHgeg/oC0tVa1g4KU/s72-c/image001.jpg)
MIKOA YA SHINYANGA NA MWANZA YAENDELEA UBABE MBIO ZA BAISKELI
Washiriki wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge” kutoka mikoa ya Shinyanga na Mwanza wameendelea kuudhihirisha umma wa wakazi wa kanda ya ziwa na watanzania kwa ujumla kuwa mpaka sasa hawana mpinzani baada ya washiriki wa mbio hizo kuibuka kidedea katika fainali za kumtafuta mshindi wa kanda hiyo.
Washiriki wa mikoa hii miwili wamejinyakulia nafasi zote za juu na hivyo kuwashinda wenzao wa mikoa mingine ya Kanda ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jfhY-uMyUa4/Xuw2fWWelTI/AAAAAAALug8/HUQzAHpHp5EdN_OqNkSE8C8FWpjnK3h3QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B6.11.44%2BPM.jpeg)
SERIKALI YATANGAZA WASHINDI WA MAKISATU, WASHINDI WA KWANZA KUJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI TANO
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa Mwaka 2020 ambayo kilele chake kilifanyika Machi 16-18 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na mshindi wa kwanza kujinyakulia kitita cha Sh Milioni Tano.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati wa kutangaza washindi hao kutoka kada mbalimbali pamoja na zawadi watakazopata, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako...
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Waandishi Mwananchi watunukiwa
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Wasanii watunukiwa tuzo Siku ya Msanii
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WASANII wanne wa sanaa mbalimbali nchini juzi wametunukiwa tuzo maalumu katika usiku wa tuzo za wasanii zilizofanyika katika ukumbi wa Nyumba ya Sanaa, Posta Dar es Salaam.
Tuzo hizo zilitolewa na Katibu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Michezo na Wasanii, Elisante Gabriel, huku ikihudhuriwa na wasanii mbalimbali.
Tuzo ya kwanza ya heshima ya sanaa za maonyesho ilikwenda kwa mwigizaji mkongwe nchini ambaye michezo yake ilikuwa ikisikika kwenye redio Tanzania...
11 years ago
Habarileo10 Dec
123 watunukiwa Shahada ya Ualimu Mzumbe
VYUO vikuu nchini vinaendelea kupunguza pengo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari nchini baada ya wahitimu 123 wa Chuo Kikuu Mzumbe kutunukiwa shahada ya kwanza sayansi na ualimu wa masomo mbalimbali, ikiwemo hisabati, biashara na lugha ya menejimenti.