Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya kimataifa, mbio za Baiskeli

Timu ya taifa ya Rwanda ya mchezo wa baiskeli inajiandaa kushiriki michuano ya nne ya kimataifa ya mbio za Biya nchini Cameroon.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MBIO ZA BAISKELI ZA SHIMIWI WATUNUKIWA MEDALI


 Mshiriki wa mbio za baiskeli za wanawake kutoka RAS Pwani akijitahidi kukaza mwendo katika mbio za baiskeli za kilomita 32 zilizoanzia kituo cha Melela Mlandizi na kuishia kituo cha Lake Oil katika mashindano ya SHIMIWI  mjini Morogoro leo. Mwenyekiti wa SHIMIWI Taifa Bw.Daniel Mwalusamba (wa pili kutoka kulia)  akimvisha medali ya fedha mshindi wa pili wa mbio za baiskeli kwa wanawake kutoka  RAS Pwani, Agatha Gambi (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo mjini Morogoro leo....

 

10 years ago

Mwananchi

Mbio za baiskeli zasogezwa, zarudishwa Dar es Salaam

Mashindano ya ubingwa wa Taifa ya mbio za baiskeli yaliyokuwa yafanyike mwishoni mwa mwezi huu mjini Mbeya yamesogezwa hadi Desemba.

 

10 years ago

Michuzi

MIKOA YA SHINYANGA NA MWANZA YAENDELEA UBABE MBIO ZA BAISKELI

Na mwandishi wetu.
Washiriki wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge” kutoka mikoa ya Shinyanga na Mwanza wameendelea kuudhihirisha umma wa wakazi wa kanda ya ziwa na watanzania kwa ujumla kuwa mpaka sasa hawana mpinzani baada ya washiriki wa mbio hizo kuibuka kidedea katika fainali za kumtafuta mshindi wa kanda hiyo.
Washiriki wa mikoa hii miwili wamejinyakulia nafasi zote za juu na hivyo kuwashinda wenzao wa mikoa mingine ya Kanda ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mikoa ya Shinyanga na Mwanza yaendelea na ubabe mbio za baiskeli

image002

Mshindi wa mbio za Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge, Masunga Duba aliyeinua mikono akishangilia mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mbele ya wenzake. Mshindi huyo anatoka mkoa wa Shinyanga.

image001

Mmoja wa washiriki wa mbio hizo akinywa maji wakati wa mashindano hayo.

image006

Washiriki wa mbio za Acacia tufanikiwe pamoja lake zone cycle challenge wakimenyana vikali wakati wa mashindano hayo.

image003

Makamu wa rais wa Kampuni ya Uchimbaji wa dhahabu ya Acacia, Deo Mwanyika (wa kwanza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathon sasa kufanyika Aprili 18

DSCF4379

Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha.

DSCF4389

Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity.

DSCF4406

Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao...

 

10 years ago

Michuzi

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes, Meneja wa Bia ya...

 

10 years ago

Michuzi

MBIO ZA KIMATAIFA ZA NGORONGORO MARATHONI SASA KUFANYIKA APRILI 18 MWAKA HUU

Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Ushirikano wa Kimataifa awashauri vijana kufanya kazi na Mashirika ya Kimataifa

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akitoa mada katika  Kongamano la Vijana. Wakati wa kongamano hilo Balozi Mushy amewashauri vijana kufanya kazi na Taasisi za Umoja wa Mataifa ili kujipatia uzoefu wa kujielezea ikiwa ni pamoja na kujiamini. Kongamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es SalaamMwakilishi Mkazi wa UNFPA Tanzania Dkt. Natalia Kanem (Wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Wizara ya Habari, Vijana,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani