WAANZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA

Hawa ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu. Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL
WAWANIA USPIKA WAANZA KUCHUKUA FOMU
9 years ago
CCM Blog
WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


9 years ago
CCM Blog11 Nov
9 years ago
CCM Blog
FOMU ZA USPIKA ZAENDELEA KUCHUKULIWA LEO



9 years ago
CCM Blog
WABUNGE WA CCM WAENDELEA KUCUKUA FOMU ZA USPIKA



9 years ago
Michuzi
CCM YAANZA KUTOA FOMU ZA KUWANIA USPIKA KWA WANACHAMA WAKE

Ratiba ya mchakato huo ni kama ifuatavyo;-
i. Wana-CCM wasio Wabunge wanaoomba ridhaa ya CCM kugombea Uspika wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Novemba 11, 2015 saa Sita Kamili mchana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzirejesha Novemba 12, 2015 kabla ya saa...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Nyalandu kuchukua fomu Juni 8
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu atahutubia wananchi mkoani Singida mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ndio mwanzo wa kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
10 years ago
Habarileo18 Jun
Shein kuchukua fomu ya urais Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa.
10 years ago
Vijimambo
DK. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU NEC KESHO

MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 3, 2015, atatinga Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Msafara wa Dk. Magufuli kwenda kuchukua fomu hiyo, utaanza saa tano asubuhi ukitokea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa...