Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU NEC KESHO

Na Mwandishi Wetu
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 3, 2015, atatinga Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Msafara wa Dk. Magufuli  kwenda kuchukua fomu hiyo, utaanza saa tano asubuhi ukitokea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA MTEULE WA URAIS CCM,DKT MAGUFULI KUCHUKUA FOMU TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KESHO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifafanua jambo kwa umakini mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.   Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 
 Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
 MGOMBEA...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWARD LOWASSA KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA EDWALD LOWASSA (CHADEMA) KWENDA NEC KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS

Wananchi wakimsindikiza Waziri mkuu msaafu Edwald Lowassa (CHADEMA) wakati akielekea kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Demokrasioa na Maendeleo (CHADEMA) wakitokea ofisi za chama hicho kupitia ofisi za CUF na kuhitimisha katika ofisi za NEC jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MISAFARA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU NEC PAMOJA NA KUSAKA WADHAMINI

          Na Lorietha Laurence –Maelezo. 

Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. 
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

10 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) 

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ACHANGIWA SH.MILIONI MOJA NA JUMUIYA YA WAZAZI ARUSHA KUCHUKUA FOMU YA URAIS

NA ELISA SHUNDA,MONDULI.
UMOJA wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Arusha, Mwishoni Mwa Wiki, Imemkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya Hiyo Taifa Ambaye Pia Ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Hicho, Dk.Edmund Mndolwa,  Shilingi Milioni Moja kwa Ajili ya Kumchukulia Fomu ya Kugombea  Nafasi ya Urais kwa Awamu ya Pili.Akiongea wakati akimkabidhi Mwenyekiti huyo fedha hizo Katibu mwenezi wa wilaya ya Arumeru ambaye pia ni mjumbe Wa kamati ya utekelezaji wa jumuiya ya wazazi...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo. …Akiwa na mgombea mwenza, Samiah Hassan Suluhu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani