Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge CCM, Chadema wagombea mradi wa maji

Uzinduzi wa mradi wa maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Kwimba, umesababisha mvutano kati ya mbunge wa Kwimba, Hanif Mansoor (CCM) na mbunge wa viti maalumu, Leticia Nyerere (Chadema).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK azindua mradi mkubwa wa maji Karatu, CHADEMA yamshukuru kwa maendeleo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa mji wa Karatuwakati Rais alipozindua mradi wa maji katika mji wa Karatu leo asubuhi.Picha na Freddy Maro.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM wakwamisha mradi wa maji Kimara

MRADI wa maji ya kisima uliyozinduliwa hivi karibuni na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala, mtaa wa Golani Kata ya Kimara jijini Dar es Salaam umekataliwa na wanachama wa Chama...

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaelezea ujenzi mradi mkubwa wa maji

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimesema mradi mkubwa wa majisafi na salama kutoka Ziwa Victoria unatarajia kuanza kutekelezwa mapema Januari 2015 ukitokea mkoani Shinyanga kupitia Nzega na Igunga mpaka Tabora.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yawaonya wabunge CCM

 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema kuwa chama hicho kitachukua uamuzi mgumu ikiwa wabunge wa CCM watajikita katika kulinda masilahi yao kwenye Bunge Maalumu la Katiba kinyume na maoni ya wananchi.

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

5 years ago

Michuzi

CCM YATOA SIKU 30 KUKAMILISHWA KWA MRADI WA MAJI KILINDINI – MICHEWENI, KASKAZINI PEMBA

……………………………………………………
Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, Wilaya ya Micheweni, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amesema Chama Cha Mapinduzi kimetoa siku 30 kukamilishwa kwa mradi wa maji Wilaya...

 

10 years ago

CloudsFM

ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA

Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.

Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo wapewe vyama hivyo ambavyo vipo kwenye umoja huo UKAWA.

Na hapo ndiyo utazuka mgogoro mkubwa wa baadhi ya wagombea ambao majimbo yao watapewa UKAWA, hapo ndipo ACT-Wazalendo watakapojipatia wagombea wanaokubalika na kuwasimamisha kama wagombea wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WABUNGE WENGINE CHADEMA NA CUF MBIONI KUTIKIA CCM

TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kuvihama vyama vyao.

Taarifa kutoka kwa baadhi ya watu waliokaribu na wabunge hao zinasema, tayari wawakilishi hao wa wananchi, wamekamilisha majadiliano na baadhi ya viongozi wakuu wa vyama wanavyotarajia kujiunga navyo.

Kwa mujibu wa mtoa taarifa wa MwanaHALISI ONLINE, hatua ya  kuondoka kwa wabunge hao katika kipindi hiki cha kuelekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani