Wabunge kuanza kupitia rasimu ya Katiba
BUNGE Maalumu la Katiba linaendelea na kikao chake na miongoni mwa shughuli zinazotarajiwa kufanywa kuanzia leo, ni kurekebisha baadhi ya kanuni za uendeshaji wake na kuanza kujadiliwa kwa ibara zilizopo ndani ya rasimu ya Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMATI YA MUDA YA BLOGGERS TANZANIA YAANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA
Mwenyekiti wa Muda wa Jumuiya ya Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya Jumuiya ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Jumuiya ya Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers). Kushoto ni Mjumbe wa...
10 years ago
Michuzi02 Sep
Kamati kuanza kuwasilisha Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma.Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini taarifa ikiyotolewa na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa mkutano huo...
10 years ago
GPL KAMATI KUANZA KUWASILISHA SURA ZILIZOSALIA ZA RASIMU YA KATIBA MPYA
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma. Baadhi ya… ...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow†ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.
10 years ago
MichuziBunge Maalum la Katiba laanza mijadala ya Rasimu ya Katiba rasmi leo
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
BUNGE Maalum la Katiba leo tarehe 9 Septemba, 2014 limeanza kazi yake ya kusoma na kujadili taarifa za Kamati mbalimbali zikiwemo Kamati namba Kumi na Mbili, Kamati namba Mbili, Kamati namba Moja, Kamati namba Nne, Kamati namba Nane, Kamati namba Tano, Kamati namba Tisa, Kamati namba Tatu, Kamati namba Sita pamoja na Kamati namba Kumi na Moja.
Baadhi ya mambo yaliyojadiliwa katika Bunge hilo ni pamoja suala la baadhi ya viongozi kumiliki akaunti zao za fedha...
10 years ago
GPLMH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Mjadala wa rasimu kuanza leo
MJADALA wa Rasimu ya Katiba mpya unaanza leo kwa wajumbe wa kamati zote 12 za Bunge Maalumu la Katiba kujadili sura mbili kwa siku mbili leo na Jumatatu. Mwenyekiti wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania