Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI YA MUDA YA BLOGGERS TANZANIA YAANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA

  Mwenyekiti wa Muda wa Jumuiya ya Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya Jumuiya ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Jumuiya ya Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers).  Kushoto ni Mjumbe wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kamati ya Bloggers Tanzania Yaanza Kujadili Rasimu

  Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers).  Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo ya muda kutoka...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge kuanza kupitia rasimu ya Katiba

BUNGE Maalumu la Katiba linaendelea na kikao chake na miongoni mwa shughuli zinazotarajiwa kufanywa kuanzia leo, ni kurekebisha baadhi ya kanuni za uendeshaji wake na kuanza kujadiliwa kwa ibara zilizopo ndani ya rasimu ya Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

Kamati kuanza kuwasilisha Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma.Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini taarifa ikiyotolewa na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa mkutano huo...

 

10 years ago

GPL

‏ KAMATI KUANZA KUWASILISHA SURA ZILIZOSALIA ZA RASIMU YA KATIBA MPYA

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Yahya Khamis Hamad akiongea na waandishi wa Habari kuhusu uwasilishwaji wa Sura zilizosalia za Rasimu ya Katiba Mpya utakaofanywa na Kamati zote 12 za Bunge. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Itifaki wa Bunge hilo, Bw. Jossey Mwasyuka. Mkutano huo ulifanyika Septemba 1, 2014 kwenye Ukumbi wa Spika mjini Dodoma. Baadhi ya… ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati mbalimbai zawasilisha maoni yao uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba Mpya

2a

Mwenyekiti wa Kamati namba mbili (2) Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

7b

Makamu  Mwenyekiti wa Kamati namba tano Assumpter Mshama akiwasilisha maoni ya wajumbe wa Kamati yake leo mjini Dodoma juu ya uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya wa rasimu ya Katiba mpya.

6

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo leo mjini Dodoma...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati #Bunge la #Katiba zaongezewa muda, wajumbe waonesha wasiwasi [VIDEO]

MWENYEKITI wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho amesogeza mbele kuanza rasmi kwa vikao vya bunge hilo baada ya Kamati ya Kanuni kuomba kuongezewa muda zaidi kukamilisha kazi iliyopewa.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA BLOGGERS KUHUSU UANDIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWORK' (TBN)

Chama cha Wamiliki/ Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN   kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika 
 ni wamiliki na waendeshaji wote wa mitandao ya kijamii (blogs na forums) Tanzania na Watanzania  wanaofanya kazi kama hiyo nje ya nchi.


Sifa kuu kwa mwanachama ni kuwa na blog ambayo ina umri wa miezi sita tangu ianze kuendeshwa  mfululizo. Kwa wa kazi wa Dar es Salaam wenye sifa ambao wanataka...

 

9 years ago

Michuzi

KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAJILI MAWAKALA WAPYA

Juma Pinto Mwenyekiti Miss TanzaniaKamati ya Miss Tanzania inapenda kuwatangazia wadau wote wanaotaka kuandaa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwa mwaka 2016 kutuma maombi yao ya uwakala kuanzia sasa hadi tarehe 30 Novemba 2015 ndio mwisho wa kupokea maombi hayo.
 Mashindano yatakayo fanyika ni ya mikoa tu, hakutakuwa na mashindano katika ngazi ya kitongoji, wilaya wala Kanda. Sifa za kuwa Wakala wa Miss Tanzania ni pamoja na 1)      Uwe na Kampuni iliyosajiliwa na Mamlaka husika ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani