Wabunge wa Kundi la 201 waonywa
MTANDAO wa mashirika 35 mkoani Kilimanjaro yanayotetea haki za wanawake na katiba, umetaka wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na makundi ya kijamii, kutokubali kumezwa na wanasiasa katika mijadala bungeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
RAAWU yakerwa na mawaziri waliowaalika chakula kundi la 201
KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti (RAAWU), mkoani Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia mawaziri waliohusika kuwaita wajumbe wa kundi la 201 nyumbani kwao kwa...
9 years ago
TheCitizen18 Nov
201 tortoises seized at JNIA
11 years ago
Habarileo05 Feb
Polisi wakamata kilo 201 za Heroin
RAIA 12 kutoka katika nchi mbili tofauti, wanashikiliwa Polisi kwa kukutwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 201, kupitia baharini.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Raawu yawajia juu wajumbe 201
KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Utafiti na kazi nyinginezo (Raawu) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia baadhi ya wajumbe wa kundi la 201 kukaa...
11 years ago
Daily News13 Aug
More from 'Group of 201' rejoin CA Katiba process
Daily News
Daily News
THE Constituent Assembly (CA) continues to see more members from the 201 'presidential appointee' groups registering and joining other members in discussing the remaining chapters of the draft constitution. This was confirmed on Tuesday by CA Clerk ...
11 years ago
Mwananchi10 Mar
‘Wajumbe 201 Bunge la Katiba wapigwe msasa’
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Lissu adai wajumbe 201 ni janja ya CCM