Wabunge waanza kushutumiana
WABUNGE wameshutumiana vikali juu ya baadhi yao kutumiwa na kampuni kubwa za kigeni kukwamisha kupitishwa kwa miswada miwili, inayotarajiwa kuwasilishwa na Serikali katika Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge unaoendelea mjini hapa, yenye lengo la kupunguza au kufuta misamaha ya kodi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jun
Wabunge waanza kuijadili bajeti
WABUNGE leo wanaanza mjadala wa bajeti ya Serikali iliyosomwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Bajeti hiyo inajadiliwa huku miongoni mwa maeneo yanayoonesha nafuu ikiwa ni pamoja na hatua ya serikali kutangaza kupunguza kiwango cha chini cha Kodi ya Mapato ya Mishahara (PAYE) hadi asilimia 12 kutoka asilimia 13.
11 years ago
GPLYANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014