Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge walia na rushwa ofisi za umma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.KUKOSEKANA kwa Sheria ya kutenganisha biashara na uongozi ili kuweka nidhamu kwa viongozi wa umma kumesababisha kuwepo na mmomonyoko mkubwa wa maadili kwa viongozi hao, ambao wamekuwa wakitumia ofisi za umma kwa maslahi binafsi, hivyo kufanya vitendo vya rushwa kukithiri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Wabunge waridhishwa na utendaji kazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora

Waheshimiwa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa nyakati tofauti wameelezea kuridhishwa kwao na utendaji wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora na taasisi zake kwa kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi.

Taarifa iliyotelewa Alhamisi hii na Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma na Utawala bora, imeandika kuwa wabunge wameridhishwa na utendaji kazi wa kitengo hicho kama ifuatavyo;

Wabunge wameonyeshwa kuridhishwa huko wakati wakichangia hoja kuhusiana na masuala ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake ‘walia’ na rushwa kortini

 Mtandao wa rushwa kwa baadhi ya mahakama nchini, umeelezwa kuwa moja kati ya changamoto na kikwazo kikubwa katika harakati za upatikanaji haki za wanawake.

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge walia njaa

WABUNGE wa Bunge la Muungano, wanakabiliwa na ukata baada ya Ofisi ya Bunge kushindwa kuwalipa posho zao tangu walipoanza vikao vya Kamati za Bunge, jijini Dar es Salaam. Ingawa wabunge...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge walia na fedha za wanafunzi

WABUNGE waiomba serikali kuongeza fedha za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu, kurejesha Idara ya Ukaguzi na kulipa malimbikizo yote wanayodaiwa na walimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanga walia posho za Wabunge

Baadhi ya wakazi wa jijini Tanga, wamelalamikia kiwango kikubwa cha posho wanacholipwa wajumbe wa Baraza la Bunge la Katiba na kusema kuwa kiwango hicho ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Ukawa walia na Spika

Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amesema atamfikisha mahakamani Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa kuvunja kanuni baada ya kuwaingiza polisi ndani ya ukumbi wa chombo hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema walia hujuma kukamatwa wabunge

>Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimedai kufanyiwa hujuma, Mbunge wa Iringa Mjini kupitia chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amekuwa mbunge wa pili kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kujeruhi.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge walia na bajeti ndogo ya Wizara Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akiwasilisha taarifa ya makadirio ya bajeti ya Wizara yake ya mwaka 2015/2016 katika kikao cha Bunge la Bajeti, mjini Dodoma jana. (Picha na Mohamed Mambo).KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii imeitaka Serikali kuiongezea fedha Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ili ikidhi mahitaji ya uendeshaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani