Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge waliopo ziarani Marekani watembelea Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa

Wabunge kutoka Tanzania walipotembelea afisi ya ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa iliyopo New York, Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi, Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mhe. Balozi Tuvako Manongi na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje Mhe. Injinia Hamad Masauni (katikati)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNTY EZEKIEL, CASSIM MGANGA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK‏

Aunt na Cassim wakiwa ubalozi wakisubiri kuonana na Balozi hii ndani ya jengo la ubalozi wa Tanzania New York City.
Mh. Balozi Manongi akishuudia Aunt Ezekiel akitia saini kwenye kitabu cha wageni ubalozini hapo.…

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ZIARANI MAREKANI KWA MWALIKO WA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN). Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

10 years ago

GPL

NAHODHA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA

Karibu na asante kwa kuja kututembelea"  Mwakilishi  wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika  Ofisi za ubalozi wa Tanzania  Umoja wa Mataifa. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu  cha  wageni  Ofisini kwa  Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe.… ...

 

10 years ago

Michuzi

supermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York

Ankal akila konozzzz na supermodel wa Tanzania anaefanya kazi zake jijini New York, Marekani, walipokutana jijini humo hivi karibuni. Ankal anamsifia Flaviana kwa kuwa mmoja wa watu maarufu wachache wanaoendesha maisha yao bila maskendo wala kashfa. Hongera sana Flaviana. Kaza buti na endeleza kupeperusha bendera yetu vyema ughaibuni.
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.

 

11 years ago

Michuzi

HARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Harvard Club Of Washington, Bi. Caren A. Pauley akiutambulisha umoja wa wanafunzi waliowahi soma Chuo Kikuu cha Harvard waishio Washinton Metro Area kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula siku ya Jumatano July 2, 2014 umoja huo ulipotembelea Ubalozi wa Tanzania kwa ajili ya kukutana na jumuiya mbalimbali za Kitanzania na Taasisi zinazoshughulika na maswala ya Tanzania na kuweza kuongea pamoja kufahamiana na kubadilishana mawazo.Afisa Immaculata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc

IMG_5858

Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.

 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC  Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.  Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.  Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama

Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.

IMG_5896

Shabiki akipata picha...

 

10 years ago

Michuzi

CASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC



 Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

 

11 years ago

Dewji Blog

Ubalozi wa Afrika ya Kusini, Umoja wa Mataifa (UN) na Vodacom waadhimisha siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela

002

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Nelson Mandela  kabla ya kusoma ujumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Mooniliyofanyika leo duniani kote na hapa nchini imeadhimishwa katika shule ya watoto wenye mahitaji maalum na kudhaminiwa na Vodacom.

Na Mwandishi wetu

Wafanyakazi wa Ubalozi wa Afrika ya kusini nchini Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani