Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Wadau waandamizi wa Globu ya Jamii Archbold Josaphat Kiwia na Agnes Samwel Likongo wamemeremeta leo katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam. Wadau hawa, ambao ni wafanyabishara maarufu wa mbao, hivi sasa wanaelekea hoteli ya Serena kwa mnuso wa nguvu waliouandaa. Globu ya Jamii inawatakia Archbold na Agness maisha mazuri na ya furaha! Bwana harusi amvisha pete mkewe Bi Harusi amvisha pete mumewe  Archbold akimwaga winoAgness naye anamwaga wino Wakikabidhiwa hati. Kwa mapicha...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU JOSEPHATH TENDEWA NA FIDES ASSENGA WAMEREMETA JIJINI DAR


Maharusi Josephath Tendewa na Fides Assenga wakiwa kwenye nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph na baadae kufanyika kwa tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Urafiki Social hall,Sinza jijini Dar.
Maharusi wakiwa na wapambe wao.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

WADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii ambaye ni Meneja wa Benki Bw. Jesse Harris Mlule akimvisha pete Faith Alex Ndamalya walipomeremeta leo Januari 2, 2016 katika kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ukumbi wa Tanzania Law School kwa mnuso wa nguvu ila si kabla ya kupitia Ledger's Plaza Bahari Beach Hotel kwa mapumziko mafupi. Mdau Faith Alex Ndamalya akimvisha pete mumewe Jesse Jesse akiweka saini katika hati ya Ndoa Faith akiweka saini kwenye hati ya ndoaMaharusi...

 

9 years ago

Michuzi

Mdau Yassin Shabani Kweka na Rehema Kasirika wameremeta jijini Arusha

Ndoa ya Bw. Yassin Shabani Kweka wa Maili Sita mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na bi Rehema Kisarika wa Mbauda jijini Arusha. Ndoa ilifungwa nyumbani Kwa mama Rehema tarehe 19/12/2015. Bwana harusi akimlisha asali mkewe wakati wa aqdi mwishoni mwa wiki jijini ArushaHati ya ndoaMadada wa Bwana Harusi wakimsubiri wifi yao...Mawifi kutoka kulia ni aumu ,Leila, Minor na Fatuma.Maharusi kwenye pozi ya furaha baada ya kumeremeta

 

10 years ago

Michuzi

NBC YAKUTANA NA WADAU WA PPF JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto) akizungumza huku Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko Makongoro akimsikiliza katika Mkutano wa 24 wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa PPF uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha. Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko Makongoro akizungumza katika Mkutano huo.Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, Ivan Tarimo, (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni...

 

11 years ago

Michuzi

wadau zuberi na asha wameremeta


Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014

 

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda akitoa Hotuba yake wakati wa kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda ili aweze kutoa hotuba ya kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAENDELEA LEO AICC, JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani